Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #41
Unaonekana una stress, ukisema njoo tulewe toa location kwa walio karibu, sasa ww kila sehemu nakuja, napita uji0ni kama zinayumba kidogo... subiri nikupe location, ukifika PM uje ufatwe uje kula maisha kijana, first of all upo dar? Au Nyakanazi huko unaleta kelele humu?
Weeekend hii
Kama uko free nambie nikupitie tukalewe
Taja location
Ntakupitia hapo
Sijui ata kama wataruhusu nafasi ya kujitetea🤔Wabongo bwan haya kiama mtajibu nn?
Mkuu hii jamii yakina kiduku lilo usitegemee msaada ni kiki tu.Mm sipend nidanganye, ukweli nmeishiwa sina kitu[emoji25][emoji25]
AhahahhaNipe masaa mawili mkuu
Nilikuwa naangalia watasemaje, mana kuna watu weng wanahitaji msaada sana but mtu yupo radhi atumie elfu 20 but ashindwe kumsaidia mtot yatima buku ya kula mchana mmoja🤔 hela hiz bwana daa😪Mkuu hii jamii yakina kiduku lilo usitegemee msaada ni kiki tu.
Nipitie kijiji pub nyamagana