Nani yuko free tukalewe

Nani yuko free tukalewe

Unaonekana una stress, ukisema njoo tulewe toa location kwa walio karibu, sasa ww kila sehemu nakuja, napita uji0ni kama zinayumba kidogo... subiri nikupe location, ukifika PM uje ufatwe uje kula maisha kijana, first of all upo dar? Au Nyakanazi huko unaleta kelele humu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka bar nzima bro umenismulia
 
Mkuu hii jamii yakina kiduku lilo usitegemee msaada ni kiki tu.
Nilikuwa naangalia watasemaje, mana kuna watu weng wanahitaji msaada sana but mtu yupo radhi atumie elfu 20 but ashindwe kumsaidia mtot yatima buku ya kula mchana mmoja🤔 hela hiz bwana daa😪
 
Back
Top Bottom