Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Kinondoni Kitambaa cheupe 2 hapa pashawaka
Una kichaa wewe maana huna helaWeeekend hii
Kama uko free nambie nikupitie tukalewe
Taja location
Ntakupitia hapo
Una kichaa wewe maana huna hela
Sina hela nifanyaje??
Cna dili sina fani Ila naweza mishe mishe Nishaurini......:www.jamiiforums.com
PM nikupe namba ya mtoto mmoja hapo ule nae maisha.Nipo hapa Tanga Pazuri. Nasubiria Baikoko ianze ili niwamwagiie mijihela watoto wote wazuri watakao cheza vizuri hiyo baikoko. Karibuni.
Kule wapi?? Anajitekenya na kucheka mwenyeweUtoto raha sana, kule unasema huna hela huku unataka ulewe
Kuna uzi wake mwingine upo juu hapoKule wapi?? Anajitekenya na kucheka mwenyewe
Kule wapi?? Anajitekenya na kucheka mwenyewe
Weeekend hii
Kama uko free nambie nikupitie tukalewe
Taja location
Ntakupitia hapo
Me naomba 5000 tu ninunulie unga![emoji848]
Unaonekana una stress, ukisema njoo tulewe toa location kwa walio karibu, sasa ww kila sehemu nakuja, napita uji0ni kama zinayumba kidogo... subiri nikupe location, ukifika PM uje ufatwe uje kula maisha kijana, first of all upo dar? Au Nyakanazi huko unaleta kelele humu?Hata balesa au mo wasemaga hawana ela ... sasa akili kumkichwa akisema hana hela anamaanisha sh ngap
Mm sipend nidanganye, ukweli nmeishiwa sina kitu😪😪Sheria ya mlevi hatoagi hela labda kama unataka bia