- Thread starter
- #101
Niko niko gado bado Rugwebe vipi za kuamka
wala sikulala bana, nilitoka kidogo tu, nambie, lunch tayari? maana ile saa we ndo ulikuwa unakunywa chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko niko gado bado Rugwebe vipi za kuamka
wala sikulala bana, nilitoka kidogo tu, nambie, lunch tayari? maana ile saa we ndo ulikuwa unakunywa chai
Hahahaa sa 16:17 saiv ndio tunatoka mihangaikoni
jamani!! watu wanakoloma usiku! balaa, kama ndo hivi kukesha noma, itabidi nifanye mpango mkakati nisikose tena usingizi, duu!!
Ndio kwanza usiku umeingia....
Ulijuaje hii ya kukoroma??
ngoja nilale mkuu.....
tobaaaa.....mwingine tena!!!
Wengine mmekoseshwa usingizi ili mtulinde lol....
Consult your wife please! BTW do you know VASECTOMY? Try it.
Loh...tushageuzwa walinzi??
si nilikuwa macho nimewasikia! afu ushaanza uoga! jamani!!!
Mmh haya bana ukeshe na leo
Consult your wife please! BTW do you know VASECTOMY? Try it.
Hehehe!!!! yaani mke wangu anafyatua mapacha tu....hakatwi mtu mirija hapa:shocked:
kama kawa, ila nahisi leo mapeeemaa, ngoja tuangalie,
Mshaanza... Mbona ninyi hatuwafatilii....
Mara Arusha one, mara arusha1 muiwache familia ya watu8 ipumuwe miaka 8000!!!!!!!!!!!