Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajua nilihama toka bara nilikokua ila tupo pamojaWe jamaa sku hiz umepotea kweli
Aje mdada tuchati, me kaa mbali mawazo yetu yanafanana[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuoneshane fursaIli iweje?
Me au ke?
Wengine hatuna kazi si unajua ajira zimesitishwa.Halafu kesho maofisini mnasinzia
Aaah wapi ?Washalala [emoji13]
Na makucha yakeKUMEKUCHA
Mlinzi ana ofc?Halafu kesho maofisini mnasinzia
Tunasubiri kupangiwa kazi nyingineWengine hatuna kazi si unajua ajira zimesitishwa.
Kila mahali mkuu kazi hakuna na hela ya kubangaiza nayo imepoteahali ngumu jamani huku kwetu moro.vp huko kwenu ?
Kwetu pazuri. ...Jaman
Leo nipo
3:28amKwani huko Tz ni saa ngp Muda huu?