Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow
Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao asubuhi.
Polisi walikuja majuzi wakabeba mabinti kadhaa lakini asubuhi wako mule mule tena wanajitapa wakisumbua sana tunawapa.
Ushauri tu, DC piteni kule usiku, mbaya zaidi ukiacha wale wasio na uwezo wa lodge kwenda mchangani kupiga short kuna kabali hapo hapo kina vyumba 3 hivi, vyumba hivyo wanafanyia uchafu kama. Wote nusu saa. Hatukatai wanasitiri ila hawa mabinti wanaoliwa Mchangan ni kutuzalilisha sana.
Watoto wanaamka kwenda asubuhi shuleni wanakutana nao wamevaa uchi kabisa na wakikuta mahandsome wetu wanaenda shule wanawafunulia.
Embu tunaomba mlifanyie kazi.
Operation Riverside isisiishie hapo ije na huku.