KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na kutunga sheria mbalimbali... Swali Je hizo sheria zinazokwenda kutungwa huku Mpina akiwa amefukuzwa bungeni ni zipi na zina nini?
Swali la Pili tuhuma za Mpina dhidi ya Bashe kuhusu vibali vya sukari na sheria ya kuua viwanda vya sukari nani yuko nyuma ya Bashe kwenye kashfa hii ya sukari?
Swali la Pili tuhuma za Mpina dhidi ya Bashe kuhusu vibali vya sukari na sheria ya kuua viwanda vya sukari nani yuko nyuma ya Bashe kwenye kashfa hii ya sukari?