Ushahidi uko wapi?Kiba na management yake ndo wapo nyuma ya hili saga
Baraka kashalizungumzia kama unafutilia maswala ya burudani..!Ushahidi uko wapi?
Dogo atapotea maskini yake.Baraka kashalizungumzia kama unafutilia maswala ya burudani..!
Hao fake viewers mbona youtube uwa haiwaondoi kama kweli ni fake?Kitu anachopaswa kufanya Baraka amcheki Diamond ampe mkakati wa kupiga fake views tu. Hakuna namna.
Mkuu hiy signature yako, ni kweli le baharia alisema hivyo?lijinga lile jamaa raia walishalichukia
Alisema wanahusika ndio niliona.Baraka kashalizungumzia kama unafutilia maswala ya burudani..!
Tatizo baraka anajiona anajua kuliko watu wote yani yeye mara aponde ngoma za wenzake mara akiondoka sehemu adiss management na mengine.Uyu jamaa kiburi na majivuno vitamuondoa kweny game kuna watu kweny game lazima uwaheshimu upate maisha, sasa yeye anafanya opposite ajui kula na kipofu uyu mtu,
Akisemwa domo huwa mnafurahi sana ila jambo likimuhusu kiba lawama kibaoDogo atapotea maskini yake.
Tatizo anaongea sana sometimes ukimya ni silaha tosha ya kushinda vita ila yeye hata yasiyo kuwa na maana atataka a comment
YES,ALISEMA,kipindi kile yuko mstari wa mbele issue ya Ruge,gwajima na bashite,huoni siku hizi yuko kimya,wadau mjini washamshtukia siyo,kumbuka alivyobishana na mange issue ya Majizo kuuza poda,siku chache baadaye majizoo alivyotajwa na bashite jamaa akamkandia mbayaaa hadi ka lulu kakasirika bwanake kufanyiwa vile kakamuita shoga..anyway ni kweli aliandika hivi kuhusu rugeMkuu hiy signature yako, ni kweli le baharia alisema hivyo?