Habari weekend wakuu.
Kumekuwa na changamoto anazopambana nazo kwa sasa mwanamuziki baraka da prince kwenye ngoma yake mpya ya sometimes kuwa ngoma yake inapatika youtube mara inapotea yani haieleweki na viewers wala.hawaongezeki. je ni nani yuko nyuma ya uhuni huu ambao unafelisha mziki wa baraka??
Ushauri: baraka inapaswa kujua kuwa mziki wa bongo unawatu ambao wakimua uhit hata kama unanyimbo.mbaya utahit na pia wakimua usihit pia utapotea.. ajifunze kumuheshimu na kunyenyekea kila mtu. Ajifunze kwa diamond, ni mnyenyekevu hata kama ndio ane walipa maboss zake