kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Fake viewz ndo zikojeKitu anachopaswa kufanya Baraka amcheki Diamond ampe mkakati wa kupiga fake views tu. Hakuna namna.
Ushahidi bongo siyo lazima ila inategemea uko upande upi...Alisema wanahusika ndio niliona.
Je unaamini hayo?
Jana hapa alimtaja mpaka shilole.
Mx carter akatolea ufafanuzi kuhusu Hilo jambo
Mnamrudisha nyuma jamaaAlisema wanahusika ndio niliona.
Je unaamini hayo?
Jana hapa alimtaja mpaka shilole.
Mx carter akatolea ufafanuzi kuhusu Hilo jambo
We unahisi kila mtu ana team.... ni wapi nimemtaja diamond au alikiba hapa?Akisemwa domo huwa mnafurahi sana ila jambo likimuhusu kiba lawama kibao
Kumbe ndio hivyo Tu auUshahidi bongo siyo lazima ila inategemea uko upande upi...
Ww mwenyewe umejawaa team kinomaWe unahisi kila mtu ana team.... ni wapi nimemtaja diamond au alikiba hapa?
Watanzania yani team kila sehemu mnahisi mtu hawezi penda wasanii wote.
Man up
Nani hao?Mnamrudisha nyuma jamaa
Jamaa wa kukaa naye mbali ni opportunist nadhani kwasasa waliokuwa wanamstahi na kumvumilia watakuwa wanamkimbia abaki na dab tuYES,ALISEMA,kipindi kile yuko mstari wa mbele issue ya Ruge,gwajima na bashite,huoni siku hizi yuko kimya,wadau mjini washamshtukia siyo,kumbuka alivyobishana na mange issue ya Majizo kuuza poda,siku chache baadaye majizoo alivyotajwa na bashite jamaa akamkandia mbayaaa hadi ka lulu kakasirika bwanake kufanyiwa vile kakamuita shoga..anyway ni kweli aliandika hivi kuhusu ruge
Kavue chupi mmeo anakusubiri chumbani acha kudandia wanaume mjini hapa.Ww mwenyewe umejawaa team kinoma
Mnajijua haina haja ya kutajaNani hao?
watu walishamstukia,unajua zamani hata kama kulikuwa na utani wa hapa na pale ila wadau walikuwa wana m show love sana ila kwa sasa mmmmh......si unakumbuka birthday yake alilalamika kuwa wished na celebrities 12 tu?Jamaa wa kukaa naye mbali ni opportunist nadhani kwasasa waliokuwa wanamstahi na kumvumilia watakuwa wanamkimbia abaki na dab tu
Pole yake princeMnajijua haina haja ya kutaja
Ulishawahi kuona baya la linalosemwa kuhusu chadema ccm wanaomba ushahidi si wataanza unga mkono tu, ila chadema wao watataka ushahidi.Kumbe ndio hivyo Tu au
Yah hawakumuwish.watu walishamstukia,unajua zamani hata kama kulikuwa na utani wa hapa na pale ila wadau walikuwa wana m show love sana ila kwa sasa mmmmh......si unakumbuka birthday yake alilalamika kuwa wished na celebrities 12 tu?
Unacho angalia ni hela.... Kumbuka pamoja na Beyonce kuwa na hela alisha fanya show chumbani kwa Muammar Mohammed Abu MinyarKwa hiyo una maana uyu jamaa apige show harusini?