Nani yuko nyuma ya viewers wa youtube kwenye ngoma mpya ya baraka?

Nani yuko nyuma ya viewers wa youtube kwenye ngoma mpya ya baraka?

Alisema wanahusika ndio niliona.

Je unaamini hayo?

Jana hapa alimtaja mpaka shilole.

Mx carter akatolea ufafanuzi kuhusu Hilo jambo
Ushahidi bongo siyo lazima ila inategemea uko upande upi...
 
YES,ALISEMA,kipindi kile yuko mstari wa mbele issue ya Ruge,gwajima na bashite,huoni siku hizi yuko kimya,wadau mjini washamshtukia siyo,kumbuka alivyobishana na mange issue ya Majizo kuuza poda,siku chache baadaye majizoo alivyotajwa na bashite jamaa akamkandia mbayaaa hadi ka lulu kakasirika bwanake kufanyiwa vile kakamuita shoga..anyway ni kweli aliandika hivi kuhusu ruge
Jamaa wa kukaa naye mbali ni opportunist nadhani kwasasa waliokuwa wanamstahi na kumvumilia watakuwa wanamkimbia abaki na dab tu
 
Ww mwenyewe umejawaa team kinoma
Kavue chupi mmeo anakusubiri chumbani acha kudandia wanaume mjini hapa.
Sina team na ndiyo maana sijaongelea team yoyote...
Ulivyo lofa unahisi labda niko team kiba ningekuwa niko team kiba nisingemuuliza aliyesema kuwa mond ana viewers fake nikamuuliza kwanini youtube uwa hawaondoi kama ni kweli...
 
Jamaa wa kukaa naye mbali ni opportunist nadhani kwasasa waliokuwa wanamstahi na kumvumilia watakuwa wanamkimbia abaki na dab tu
watu walishamstukia,unajua zamani hata kama kulikuwa na utani wa hapa na pale ila wadau walikuwa wana m show love sana ila kwa sasa mmmmh......si unakumbuka birthday yake alilalamika kuwa wished na celebrities 12 tu?
 
Kumbe ndio hivyo Tu au
Ulishawahi kuona baya la linalosemwa kuhusu chadema ccm wanaomba ushahidi si wataanza unga mkono tu, ila chadema wao watataka ushahidi.
Same applied to baya la ccm chadema hawawezi omba ushahidi wataponda ila ccm wataomba ushahidi.
Hiyo mpaka kwenye team za wasanii wetu.
Hivyo wabongo ushahidi kwao inategemea anayesemwa anampenda au anamchukia
 
watu walishamstukia,unajua zamani hata kama kulikuwa na utani wa hapa na pale ila wadau walikuwa wana m show love sana ila kwa sasa mmmmh......si unakumbuka birthday yake alilalamika kuwa wished na celebrities 12 tu?
Yah hawakumuwish.
Watu now wanamwknyesha wazi wazi kuwa akae mbali nao.
Hata angekuwa mimi haiwezekani leo we rafiki yangu kesho kisa nimegombana na flani na wewe ununue ugomvi tena uanze nisema hadharani kuliko hata yule niliyegombana naye
 
Kwa hiyo una maana uyu jamaa apige show harusini?
Unacho angalia ni hela.... Kumbuka pamoja na Beyonce kuwa na hela alisha fanya show chumbani kwa Muammar Mohammed Abu Minyar
Gaddafi ya Birthday...
 
Ila baraka nae ana mdomo mchafu yule kaka. Anapenda kuropoka ropoka yaani mmh...nikisema uswahili namuonea,ajifinze kuishi kistar aisee. Mi napenda kweli nyimbo zake lakini baraka anazingua kwenyw kujimanage.
 
Jamaa alikuwa anakuja vzuri sana mwanzo ila kukosa adabu,heshima na kujua kila kitu kumeharibu maisha yake ya muziki.

Ndio Rockstar hawakuwa wakienda nae sawa kama alivyotamani yeye ila ile kitu ya kujitoa na kuanza kuongea maneno ya hovyo juu yao ni ukosefu wa fadhila.

Ali Kiba ni mtu mwenye die hard fans huwezi kumsema vibaya na ukabaki salama hiko Ndio kinachomkuta Bwana mdogo angeondoka bila maneno yasingemkuta yanayomkuta Leo
 
Back
Top Bottom