Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Leo tena katika kuperuzi YouTube nakutana na video za wanaharakati wa kupinga mradi wa EACOP.
Hizi vidéo ni za karibuni kama wiki tu imepita na inaonekana hiyo Channel iliyoziposti kuanzia mwezi uliopita imeposti habari ya madhara na hasara za mradi wa EACOP.
Who is behind these so called wanaharakati real? Habari za maandamano ya kupinga huu mradi binafsi nilianza kuzisikia 10+ years ago tena nakumbuka BBC walizitangaza kwa fujo kwelikweli.
Lakini hadi leo hawakomi na bomba limeshaanza kujengwa ila hawakomi sasahivi wamebadilisha lugha wanadai raia hawapewi ajira kwenye mradi.
Habari za kuharibu mazingira wamepunguza kidogo kuzisema.
Aisée hawa wanaharakati itakuwa wamepewa mabilioni. Sio kwa juhudi hizi😂😂😂😂😂😂😂