Nani yupo hapa?

Nani yupo hapa?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Habari za majukumu wakuu?

Katika kuhangaika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Leo nipo hapa Dakawa, Morogoro.

Kwa aliye pande hizi tutafutane. Nipo leo tu .kesho inshaallah nitaondoka hapa.
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom