Nani yupo kwa JB Mpiana....

cacico umepitia thread ya kuvunjwa kwa ndoa ya Madame B na Chimbuvu , and are you aware of your impending responsibility from about 11:00am today!?? kama bado do the needful
tobaaaaaaaaaaaaaa!! ndoa imevunjika nini?? kumbe ndiyo maana yule penguine simuoni akibonyza key board tena!! lol
 
jishangalie tu shem wangu TANMO, huyu mdaiwa wa FINCA huyu, ni balaa!!

Shem huyu Jamaa anapenda kweli umbeya...
Halafu Shem hebu nikumbushe U-shem wetu ni kwa nani? Manake kidogo nitupe ndoano kwako.. :shut-mouth::confused2:
 
Preta jana wenye ile kona 3A,unakaribia kuzima nilikuona,nkakufwata pale juu...ulipendeza sana,nikakuwasha hili lipicha,ulikuwa umependeza....embu jionee,alafu ujikane,this is beyond ur avatar



kapendeza ,hajapendezaaaa?
 
Last edited by a moderator:
hebu Bishanga njoo utoe ripoti jana ilikuwaje......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…