Nani yupo Mbezi Beach tukimbie pamoja kwa mwezi mzima?

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,809
Reaction score
11,462
Heshima kwenu wakuu.

Natamani sana kukimbia kufukuza kitambi cha kizushi kwa muda wa mwezi mmoja mfululizo; hii ni Jumatatu-Jumapili asubuhi. Tunadamka mapema alfajiri sana tunakula kona ya Africana kuelekea beach mpaka mwisho kabisa kule wanapokodisha boti za kwenda Mbudya Island. Nahitaji mtu mwenye dhati na mwanaume. Kama ni mwanamke awe mtu wa mazoezi kweli.
Maana kwa kweli nimechemka mazoezi ya peke yangu. Nashindwa kuwa na muendelezo au kufika lengo. Ya wawili au zaidi huwa nakua na uwezo wa kufikia azma.

Karibuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…