Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wivu tu, bilioni mbili sio hela nyingiHatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Kama unamfahamu, mtaje tu. Unamuogopa nani humu?Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Hivi utajiri wa Fred Vunja Bei unaujua wewe? Yule ni mpiganaji halali. Yaani umaskini wa wengine ujue siyo umaskini wa wote. Badala ya kufurahia Mtanzania anaweza tumeanza kuuliza maswali ya kikakasi. Kweli nyuma ya kila anayeshindwa basi kuna wasababishaji. Nimeshangaa sana hii thread.Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Wakati mwingine huitajiki kuwa na pesaTatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
Tatizo akili zako ni fupi kama urefu wa pua yakoHatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Wakati mwingine huitajiki kuwa na pesa
Unahitaji pesa za watu.wengine kufanikisha mambo
Ukipeleka mkataba wako wa na simba
Benki yoyote itakumwagia pesa
Ukipeleka proposal yako ya mkataba na simba kwa manufacture yoyote nchi yoyote ile hasa china
Hawataaacha kukuunga mkono
Wakati mwimgine huitaji pesa unahitaji brain tu kupata pesa
Wivu tu, bilioni mbili sio hela nyingi
Akili za kimasikini ni mbaya sana,
mabenki yana hela nyingi tu, nenda kakope
Kama unamfahamu, mtaje tu. Unamuogopa nani humu?
Hivi utajiri wa Fred Vunja Bei unaujua wewe? Yule ni mpiganaji halali. Yaani umaskini wa wengine ujue siyo umaskini wa wote. Badala ya kufurahia Mtanzania anaweza tumeanza kuuliza maswali ya kikakasi. Kweli nyuma ya kila anayeshindwa basi kuna wasababishaji. Nimeshangaa sana hii thread.
Hiyo tenda ya Vunja bei mkataba wake unakopesheka benki nyingi hapa nchini.