Nani yupo nyuma ya Fred katika dili la Simba?

Nani yupo nyuma ya Fred katika dili la Simba?

Tatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
Yes hes is big, ila kuwa inspired kupitia yeye hapana! Kazikuta mzee, ataku inspire nini?
 
Kkukopa sio ishu ila kwa biashara ya jezi kibongobongo hiyo 2B ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, tusifichane.

Biashara yako kubwa kabisa ulowahi kufanya ni ipi kiongozi?
Muda mwingine kuna mbumbumbu hujifanya wafanyabiashara na kutoa ushauri wa kibiashara ilhali hawajawahi fanya biashara yoyote ile.
 
Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Biashara ya kd ile,b 2 ni pesa ndogo sana kwa mkataba wa jezi kwa klabu kama simba,kama ni kweli vunja bei hizo jezi zikitoka zisiwe na nembo ya uhl ndio nitaamini kassim dewji hayuko behind ya hili
 
Tatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
Mkuu,
Ukosefu wa ubunifu wa upambanaji katika maisha, watu huishia kuwaonea wivu vijana waliotoboa kimaisha. Mijitu inabaki kusema maendeleo ya watu wengine, badala ya kupambana ufanikiwe, unabaki na wivu wa kipopoma
 
Kkukopa sio ishu ila kwa biashara ya jezi kibongobongo hiyo 2B ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, tusifichane.
your narrow-mind thinking unaona haiwezekani, ila Fred anaona inawezekana, na ndo maana uko na level hiyo ya maendeleo, which reflect your scope of thinking.
 
Akili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hadithi fupi lkn tamu sn.. akili,akili, akili
 
Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Haya sawa Chura,kocha wa Yanga huyu mpya aliwai kufundisha Real Madrid.
Vipi hapo umefurahi mwana Yanga!!,maana akili zenu ni za kudanganywa kama watoto.
 
Hata wewe unaweza kwenda kuwekeza na sio kukalisha mapumbu kutaka kujua yaliyo.nyuma ya pazia ...pesa inafuata pesa sasa wewe endelea kutingisha makalio hayo
Mkuu mm nimetukana Mtu mpaka ww unitus
 
Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!

Je, ni nani yupo nyuma ya dili hili?
hizi ni dalili za kichawi kama haujawa ,utakuwa
 
Hakuna mfanyabiashara anayetaka aweke pesa yake ipotee. Hiyo 2B ni kiini macho, na huyo Fred katumwa na wenye timu
Kama ulikuwa na jibu uzi umeleta wa nin hapa na kwanini unatumia akili zako ndogo kujadili akili kubwa huoni kama unajitafutia magonjwa ya moyo bure ahahahah
 
Back
Top Bottom