Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Yes hes is big, ila kuwa inspired kupitia yeye hapana! Kazikuta mzee, ataku inspire nini?Tatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
hamis mobetoHatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je, ni nani yupo nyuma ya dili hili?
hamisi mobetoKwenye mafanikio ya kila mwanaume nyuma kuna mwanamke shupavu...!
Wewe ndiyo unakili finyu tena za kimasikini ndiyo maana umeleta uzi wa kipumbavuUwezo wako wa kuchanganua mambo mdogo, MO lazma awashike masaburi
Kkukopa sio ishu ila kwa biashara ya jezi kibongobongo hiyo 2B ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, tusifichane.
Biashara ya kd ile,b 2 ni pesa ndogo sana kwa mkataba wa jezi kwa klabu kama simba,kama ni kweli vunja bei hizo jezi zikitoka zisiwe na nembo ya uhl ndio nitaamini kassim dewji hayuko behind ya hiliMashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Mkuu,Tatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
your narrow-mind thinking unaona haiwezekani, ila Fred anaona inawezekana, na ndo maana uko na level hiyo ya maendeleo, which reflect your scope of thinking.Kkukopa sio ishu ila kwa biashara ya jezi kibongobongo hiyo 2B ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, tusifichane.
Hadithi fupi lkn tamu sn.. akili,akili, akiliAkili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hadithi fupi lkn tamu sn.. akili,akili, akili
Haya sawa Chura,kocha wa Yanga huyu mpya aliwai kufundisha Real Madrid.Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Mkuu mm nimetukana Mtu mpaka ww unitusHata wewe unaweza kwenda kuwekeza na sio kukalisha mapumbu kutaka kujua yaliyo.nyuma ya pazia ...pesa inafuata pesa sasa wewe endelea kutingisha makalio hayo
hizi ni dalili za kichawi kama haujawa ,utakuwaHatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je, ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Kama ulikuwa na jibu uzi umeleta wa nin hapa na kwanini unatumia akili zako ndogo kujadili akili kubwa huoni kama unajitafutia magonjwa ya moyo bure ahahahahHakuna mfanyabiashara anayetaka aweke pesa yake ipotee. Hiyo 2B ni kiini macho, na huyo Fred katumwa na wenye timu