Nani yupo nyuma ya Taliban? Miaka karibu 20 ya vikosi vya Marekani na washirika wake Afghanistan ni Bure?

Nani yupo nyuma ya Taliban? Miaka karibu 20 ya vikosi vya Marekani na washirika wake Afghanistan ni Bure?

Marapai

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
314
Reaction score
376
Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires

USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA)

Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya Pakistan - Pashtun.

September 11 2003 wakafanya yao. Bush kaanzisha military campaign dhidi yao, imeridhishwa kwa Obama, Trump, Biden leo miaka karibu 20. More than 2 trillion $$ zimetumika.

Leo troops za US & UK wanafungasha virago Taliban wamerudi. Wanateka miji kama wanatembea nani ana sponsor hawa jamaa?
 
Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires

USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA)

Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya Pakistan - Pashtun.

September 11 2003 wakafanya yao. Bush kaanzisha military campaign dhidi yao, imeridhishwa kwa Obama, Trump, Biden leo miaka karibu 20. More than 2 trillion $$ zimetumika.

Leo troops za US & UK wanafungasha virago Taliban wamerudi. Wanateka miji kama wanatembea nani ana sponsor hawa jamaa????
 
NAKUMBUKA US NA NATO WALIVYOVAMIA AFHGANSTAN, USSR WALIWAAMBIA US KUWA HAO JAMAA HAMTAWAWEZA NI WABISHI WA VITA
Ni kweli kabisa imekua ni kampeni isiyokwisha kwa Nato sasa leo wanaondoka majeshi halali ya nchi yanajisalimisha tu Kwa Taliban sehemu nyingine wanajiunga nao. Kumbuka majeshi ya Afghanistan wameachwa na gears/vifaa vya kijeshi likuki kutoka Nato sasa vyote vinaingia kwenye himaya ya hawa extremist
 
Ile vita ni ngumu kwa sababu Taliban sio jeshi rasmi (kwamba lina uniform rasmi na makazi yanayojulikana), ila ni kikundi cha watu ambacho wamechanganyikana na raia wa kawaida kabisa. Hawa hupanga mashambulizi including kwenye miji mikubwa kabisa ya Afghanistan. Kikundi kilitengenezwa na USA makusudi kuwakomoa Warusi, sasa kimekuwa kikubwa beyondo control. Kimefika mpaka Georgia, Armenia nk.
 
NAKUMBUKA US NA NATO WALIVYOVAMIA AFHGANSTAN, USSR WALIWAAMBIA US KUWA HAO JAMAA HAMTAWAWEZA NI WABISHI WA VITA

Pamoja na hayo yote, hayo madude yana spirit ya kupigana balaa yani hata wakibaki wawili hawakati tamaa wanarudikutrain wengine wanaliamsha upya.
Watu wengi hamjui kuwa hizo crisis zote zimesababishwa na Westerners (US na washirika wake) hata hayo makundi ya kigaidi wanayojidai kupambana nayo wao ndio wanaowapa support ili kuleta mfarakano kwenye nchi hizo za Mashariki ya Kati ili wao wapate mianya ya kuchuma mali asili zilizopo na kikubwa ikiwa ni crude oil.

Dunia hii inaendeshwa tofauti sana na watu wengi tunavyojua au tunavyodhani.

Mataifa ya magharibi wakishaona nchi ipo kwenye third world na ina rasilimali wanazotaka kama madini, mafuta n.k watakuja kwa njia za kilaghai kujidai wanataka kuwasaidia kwa mikataba ya kinyonyaji.

Mkiwa na viongozi wanaojielewa wakiwakazia wao lazima watafute namna ya kuleta machafuko kwa ku fadhili makundi ya waasi/magaidi halafu machafuko yakitokea wanajidai kuleta troops wakijidai kuja kuleta/kulinda amani kumbe ndio muda wao wakuwapiga.

Angalia nchi kama Libya ilivyokuwa stable kipindi cha Gadaffi. Lakini mzungu akaona kuwa hawezi kuinyonya Libya mpaka watafute njia ya kumuengua Gadaffi. Wote tunajua kilichotokea na tunajua Libya ipo katika hali gani sasa.

Hapo mainstream media zinawajaza habari za tofauti (misinformation). Hizo ni propaganda za Westerners

Tumefichwa mengi.
 
Kuna watu wapo nyuma yao mimi niliwahi kuongea na raia mmoja ambaye ni muafghan anasema wengi wa wapiganaji wa Taleban siyo raia wa Afghanistan ni kutoka nje kama Pakistan na baadhi wanatoka nchi nyengine kama za ulaya wanakuwa wanalipwa kama kazi ya kawaida. Mshahara na wanaambiwa wakiteka mji kila kitu yaani mali ni halali zao wanawabaka wanawake.

Hivi vita vingi nyuma kuna maslahi ya watu waliotaka waipeleke demokrasia wameikimbia nchi baada ya kujaribu miaka 20 kwa aibu kubwa wamewaachia nchi yao.Wameenda iraq fujo tupu haikaliki na Libia nayo haikaliki.

Marekani anaipiga iraq amuondoe Sadam Hussein iran alikuwa upande anafurahi Saudia yupo pembeni. Saudia anampiga myemen mmarekanj yupo na Saudia Iran anakasirika anawaunga mkono wahuthi na hivyo hivyo Siria wamarekani wanawafadhili waasi Mrusi anamlinda Bashar Assad asiondoke na mpaka leo yupo. Nenda libia Ghedafi kaondolewa waasi wakishirikiana na Marekani na Nato machafuko yameibuka sasa kuna serikali sijui ni mbili ama ngapi moja inaungwa mkono na warusi na nyengine uturuki kiujumla mambo ya siasa ni uchawa tu.

Wee miaka ishirini yote waliyoyafanya huko Afganistan yanapotea yoote ndani ya mwezi sifikirii itafika mwaka hawa jamaa nchi yote wataichukua. Ikiwa wanaimiliki asilimia 65% ya nchi. Marekani na washirika wake waache kwenda nchi ambazo zina utamaduni wao toka karne na karne kueneza itikadi zao mwisho matokeo yake ni haya amani hakuna. Wangekuwa wanafanikiwa basi wanaacha amani kama wanavyodai wenyewe lengo ni demokrasia. Sasa demokrasia bila amani wapi na wapi mpaka sasa nchi tatu karibu dunia yote imejifunza wameshindwa kupeleka hiyo democrazia na amani wameacha vurugu tu.

Huu ni wakati sasa kila nchi ijiamulie mambo yake yenyewe na isipangiwe na Wengine ili mradi isihatarishe usalama wa nchi nyengine.Upande mwengine Korea ya kaskazini na rais wao Kim wanaweza kuonekana ni wehu kwa kutengeneza kwa silaha za nyuklia, Silaha za nyuklia wakati mwengine siyo unazitengeneza ili umpige adui hapana inakuwa kama ni chombo ambacho unaweza kukaa mezani na mataifa haya makubwa na ukaongea nayo yakakusikiliza. Kama korea kaskazini asingekuwa na hii kitu wangeshammaliza kitambo.Silaha za nyuklia hazina udogo wa nchi madhara yake ni makubwa tu.
 
Aliyenyuma ya Taliban ni Marekani, Uingereza, Ufaransa na washirika wao sababu kubwa ikiwa ni zao la Opium ambalo linaongoza kuzalishwa nchini Afghanistan.

Mmoja wa wawanajeshi kutoka Uswidi alitueleza masuala kadha kadha taifa la Uswidi linapitia kutokana na ushirika na kijiingiza kwake Afghanistan.

Nimekuwa Frontline katika missions mbalimbali za usalama, counter terror, peace keeping na hii ambayo haieleweki iliyochini ya Marekani, Uswidi tuliitwa kuongeza nguvu lakini Marekani ametutupa baada ya uwepo wetu nyuma ya mashamba ya Opium. Nje ni vita against Taliban ilhali ndani ni vita against serikali ya Afghan.”

Mwanajeshi huyu anasema hatamani tena kuishi Uswidi baada ya kutoka Afghanistan maana stahiki zake hazijatekelezwa, na hivi karibuni anategemea kwenda Singapore kuanzisha maisha mapya.
 
Watu wengi hamjui kuwa hizo crisis zote zimesababishwa na Westerners (US na washirika wake) hata hayo makundi ya kigaidi wanayojidai kupambana nayo wao ndio wanaowapa support ili kuleta mfarakano kwenye nchi hizo za Mashariki ya Kati ili wao wapate mianya ya kuchuma mali asili zilizopo na kikubwa ikiwa ni crude oil.

Dunia hii inaendeshwa tofauti sana na watu wengi tunavyojua au tunavyodhani.

Mataifa ya magharibi wakishaona nchi ipo kwenye third world na ina rasilimali wanazotaka kama madini, mafuta n.k watakuja kwa njia za kilaghai kujidai wanataka kuwasaidia kwa mikataba ya kinyonyaji.

Mkiwa na viongozi wanaojielewa wakiwakazia wao lazima watafute namna ya kuleta machafuko kwa ku fadhili makundi ya waasi/magaidi halafu machafuko yakitokea wanajidai kuleta troops wakijidai kuja kuleta/kulinda amani kumbe ndio muda wao wakuwapiga.

Angalia nchi kama Libya ilivyokuwa stable kipindi cha Gadaffi. Lakini mzungu akaona kuwa hawezi kuinyonya Libya mpaka watafute njia ya kumuengua Gadaffi. Wote tunajua kilichotokea na tunajua Libya ipo katika hali gani sasa.

Hapo mainstream media zinawajaza habari za tofauti (misinformation). Hizo ni propaganda za Westerners

Tumefichwa mengi.

Na huko Afghan sababu kubwa ni Opium
UK na USA wanabeba sana zao hilo yaani hawataondoka labda Waafghani waaache kulima

Opium Ina hela nyingi sana na inatumika sio kwa ulevi tu

Wapo watakaobisha lakini ukweli ni kwamba wapo huko kama walivyo huko Middle East

IMG_1982.jpg
 
Aliyenyuma ya Taliban ni Marekani, Uingereza, Ufaransa na washirika wao sababu kubwa ikiwa ni zao la Opium ambalo linaongoza kuzalishwa nchini Afghanistan.

Mmoja wa wawanajeshi kutoka Uswidi alitueleza masuala kadha kadha taifa la Uswidi linapitia kutokana na ushirika na kijiingiza kwake Afghanistan.

Nimekuwa Frontline katika missions mbalimbali za usalama, counter terror, peace keeping na hii ambayo haieleweki iliyochini ya Marekani, Uswidi tuliitwa kuongeza nguvu lakini Marekani ametutupa baada ya uwepo wetu nyuma ya mashamba ya Opium. Nje ni vita against Taliban ilhali ndani ni vita against serikali ya Afghan.”

Mwanajeshi huyu anasema hatamani tena kuishi Uswidi baada ya kutoka Afghanistan maana stahiki zake hazijatekelezwa, na hivi karibuni anategemea kwenda Singapore kuanzisha maisha mapya.
Bro dunia hii inaendeshwa kitofauti sana na watu wengi tunavyofikiri.

Hivi mtu anashindwa kujiuliza ni vipi kikundi kama Taliban kiwashinde maarifa coalition ya nchi zilizo advance kwa kiasi kikubwa kwenye military na technology?

Jibu linabaki kuwa hao hao ndio wanaowapa pesa, silaha na modern technologies.
 
Back
Top Bottom