Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Nchi hiyo ..Taifa hilo lina wanaume wengi kuliko wanawake... Tazama vizuri!!Waarabu wana hela sana - ndiyo wanaowafadhili hao jamaa.
Bila kusahau Helmand Province,kule Muingereza alipelekwa udenda ulimtoka ๐ ๐Taleban wazee wa Pashtun, khost, Peshawal-Pakistan, wazee wa handas Kabul na Kandahar.
hahahahaha, nchi ngumu sana ile pamoja na ule ukanda wote kuanzia kashmir kuja mpaka Islamabad to Karachi - Pakistan.
Alikuwa Mao Tse tung[emoji3] [emoji3] [emoji3] Mugabe alinukuliwa akisema "Siku mbu akitua kwenye korodani zako, ndipo utakapojua kwamba kuna wakati unaweza kutatua matatizo bila kutumia mabavu"
Kitu kimoja ninacho kikumbuka personaly kuhusu hapo Peshawar Pakistani ni ukarimu wa watu wake hasa kwa wageni.Taleban wazee wa Pashtun, khost, Peshawal-Pakistan, wazee wa handas Kabul na Kandahar.
hahahahaha, nchi ngumu sana ile pamoja na ule ukanda wote kuanzia kashmir kuja mpaka Islamabad to Karachi - Pakistan.
Russia na IranInaitwa Afghanistan the graveyard of Empires
USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA)
Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya Pakistan - Pashtun.
September 11 2003 wakafanya yao. Bush kaanzisha military campaign dhidi yao, imeridhishwa kwa Obama, Trump, Biden leo miaka karibu 20. More than 2 trillion $$ zimetumika.
Leo troops za US & UK wanafungasha virago Taliban wamerudi. Wanateka miji kama wanatembea nani ana sponsor hawa jamaa?
Hahahahaaa! Mugabe alikuwa ni kiboko ya Mabeberu! [emoji16][emoji16][emoji3] [emoji3] [emoji3] Mugabe alinukuliwa akisema "Siku mbu akitua kwenye korodani zako, ndipo utakapojua kwamba kuna wakati unaweza kutatua matatizo bila kutumia mabavu"
Dah akili kubwa sana hii MKUUWatu wengi hamjui kuwa hizo crisis zote zimesababishwa na Westerners (US na washirika wake) hata hayo makundi ya kigaidi wanayojidai kupambana nayo wao ndio wanaowapa support ili kuleta mfarakano kwenye nchi hizo za Mashariki ya Kati ili wao wapate mianya ya kuchuma mali asili zilizopo na kikubwa ikiwa ni crude oil.
Dunia hii inaendeshwa tofauti sana na watu wengi tunavyojua au tunavyodhani.
Mataifa ya magharibi wakishaona nchi ipo kwenye third world na ina rasilimali wanazotaka kama madini, mafuta n.k watakuja kwa njia za kilaghai kujidai wanataka kuwasaidia kwa mikataba ya kinyonyaji.
Mkiwa na viongozi wanaojielewa wakiwakazia wao lazima watafute namna ya kuleta machafuko kwa ku fadhili makundi ya waasi/magaidi halafu machafuko yakitokea wanajidai kuleta troops wakijidai kuja kuleta/kulinda amani kumbe ndio muda wao wakuwapiga.
Angalia nchi kama Libya ilivyokuwa stable kipindi cha Gadaffi. Lakini mzungu akaona kuwa hawezi kuinyonya Libya mpaka watafute njia ya kumuengua Gadaffi. Wote tunajua kilichotokea na tunajua Libya ipo katika hali gani sasa.
Hapo mainstream media zinawajaza habari za tofauti (misinformation). Hizo ni propaganda za Westerners
Tumefichwa mengi.
Taliban ni mashine kubwaPamoja na hayo yote, hayo madude yana spirit ya kupigana balaa yani hata wakibaki wawili hawakati tamaa wanarudikutrain wengine wanaliamsha upya.
End off........Umemaliza mjadalaSio rahisi kupigana na ideology.
๐ ๐ ๐ umeona eehHahahahaaa! Mugabe alikuwa ni kiboko ya Mabeberu! [emoji16][emoji16]
Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires
USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA)
Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya Pakistan - Pashtun.
September 11 2003 wakafanya yao. Bush kaanzisha military campaign dhidi yao, imeridhishwa kwa Obama, Trump, Biden leo miaka karibu 20. More than 2 trillion $$ zimetumika.
Leo troops za US & UK wanafungasha virago Taliban wamerudi. Wanateka miji kama wanatembea nani ana sponsor hawa jamaa????
Katika jeshi lenye discipline ni Wataleban, wale hawabaki wanawake maana wana discipline kubwa ya uislamuKuna watu wapo nyuma yao mimi niliwahi kuongea na raia mmoja ambaye ni muafghan anasema wengi wa wapiganaji wa Taleban siyo raia wa Afghanistan ni kutoka nje kama Pakistan na baadhi wanatoka nchi nyengine kama za ulaya wanakuwa wanalipwa kama kazi ya kawaida. Mshahara na wanaambiwa wakiteka mji kila kitu yaani mali ni halali zao wanawabaka wanawake.
Hivi vita vingi nyuma kuna maslahi ya watu waliotaka waipeleke demokrasia wameikimbia nchi baada ya kujaribu miaka 20 kwa aibu kubwa wamewaachia nchi yao.Wameenda iraq fujo tupu haikaliki na Libia nayo haikaliki.
Marekani anaipiga iraq amuondoe Sadam Hussein iran alikuwa upande anafurahi Saudia yupo pembeni. Saudia anampiga myemen mmarekanj yupo na Saudia Iran anakasirika anawaunga mkono wahuthi na hivyo hivyo Siria wamarekani wanawafadhili waasi Mrusi anamlinda Bashar Assad asiondoke na mpaka leo yupo. Nenda libia Ghedafi kaondolewa waasi wakishirikiana na Marekani na Nato machafuko yameibuka sasa kuna serikali sijui ni mbili ama ngapi moja inaungwa mkono na warusi na nyengine uturuki kiujumla mambo ya siasa ni uchawa tu.
Wee miaka ishirini yote waliyoyafanya huko Afganistan yanapotea yoote ndani ya mwezi sifikirii itafika mwaka hawa jamaa nchi yote wataichukua. Ikiwa wanaimiliki asilimia 65% ya nchi. Marekani na washirika wake waache kwenda nchi ambazo zina utamaduni wao toka karne na karne kueneza itikadi zao mwisho matokeo yake ni haya amani hakuna. Wangekuwa wanafanikiwa basi wanaacha amani kama wanavyodai wenyewe lengo ni demokrasia. Sasa demokrasia bila amani wapi na wapi mpaka sasa nchi tatu karibu dunia yote imejifunza wameshindwa kupeleka hiyo democrazia na amani wameacha vurugu tu.
Huu ni wakati sasa kila nchi ijiamulie mambo yake yenyewe na isipangiwe na Wengine ili mradi isihatarishe usalama wa nchi nyengine.Upande mwengine Korea ya kaskazini na rais wao Kim wanaweza kuonekana ni wehu kwa kutengeneza kwa silaha za nyuklia, Silaha za nyuklia wakati mwengine siyo unazitengeneza ili umpige adui hapana inakuwa kama ni chombo ambacho unaweza kukaa mezani na mataifa haya makubwa na ukaongea nayo yakakusikiliza. Kama korea kaskazini asingekuwa na hii kitu wangeshammaliza kitambo.Silaha za nyuklia hazina udogo wa nchi madhara yake ni makubwa tu.
Walopa kodi huko marekani na Ulaya ndiyo waliyoumia... Vita miaka 20 vila tija!!!!Vita inagharimu. Kuna wanaolipwa na kuna wanaolipa...
Ile vita ni ngumu kwa sababu Taliban sio jeshi rasmi (kwamba lina uniform rasmi na makazi yanayojulikana), ila ni kikundi cha watu ambacho wamechanganyikana na raia wa kawaida kabisa. Hawa hupanga mashambulizi including kwenye miji mikubwa kabisa ya Afghanistan. Kikundi kilitengenezwa na USA makusudi kuwakomoa Warusi, sasa kimekuwa kikubwa beyondo control. Kimefika mpaka Georgia, Armenia nk.
Bila kusahau Mapango ya Torabora..Taleban wazee wa Pashtun, khost, Peshawal-Pakistan, wazee wa handas Kabul na Kandahar.
hahahahaha, nchi ngumu sana ile pamoja na ule ukanda wote kuanzia kashmir kuja mpaka Islamabad to Karachi - Pakistan.