Mi sitishiki aisee...labda Ruttashobolwa na KaizerHuoni nimemtisha Erickb52, Ruttashobolwa na mwenzake na ubushloya wangu wamekaa kimyaaaaaa.......... yaani wanaangalia thread kama guest hahaaaaaa!!!!!!!!!
Kwani na wewe kuna tofauti Erickb52 kwa kupenda hiyo makitu na wake za watuQUOTE=Erickb52;5000500]Majungu majungu tu....muulize Mungi ile kesi yake imefikia wapi?
Aache kupendapenda makahaba
mimi niko hapa sky naona man u wamekula kimojaIna maaana hawa uliowataja ndio washarati wakuu..??
man u wamelamba kimoja
umekaa wapi....mi ndo naingia.....
preta hivi Erick huyo hapo maana nimesikia kaharibu huku sanawari na yuko selo!umekaa wapi....mi ndo naingia.....
...😱...yes darling.....
uwiiii.....nafuta bebii.....
...haraka sana..uwiiii.....nafuta bebii.....