Nani yupo tayari kwa hili leo?

Nani yupo tayari kwa hili leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo mood yangu yote imekaa Kubishana bishana tu ( Ligi ) nani yupo tayari alianzishe tu hata jambo fulani ili tuanze Kubishana siku nzima na mpaka Kesho, Keshokutwa na kila siku hadi pale ambapo Mtandao huu utakuja kufikia tamati?

Haya naomba ' Ligi ' ya jambo lolote ianze.

Nawasilisha.
 
Ingia basi washalianzisha ningependa na mi kuingilia kati pale utakapokaribia kuwashinda washindani!
 
Eti chadema na ccm chama kipi kina viongozi mbumbumbu
 
Lile ulilotuambia soon tutasikia habari mbaya kutoka Nairobi vipi iliishia wapi?

Huwa unajisikiaje kudanganya namna hii?
 
Back
Top Bottom