Nani yupo tayari kwa hili leo?

Nani yupo tayari kwa hili leo?

Eti hadi sasa kuna viwanda 3000 vipya vimeshaanzishwa na kutoa ajira kwa watanzania. Unabisha?????
 
Eti chadema na ccm chama kipi kina viongozi mbumbumbu

Usinitafutie ' lawama ' tafadhali. Labda na Wewe nikuulize tu yule anayekimbia kimbia kutoka Bungeni huku akisusa mambo muhimu yakijadiliwa na yule ambaye anamkumbatia Fisadi kwa muda mrefu tena huku akimsifu lakini akihama tu hiko Chama chao anaonekana adui mkubwa unadhani hapo nani ni ' Mbumbumbu ' zaidi?
 
Lile ulilotuambia soon tutasikia habari mbaya kutoka Nairobi vipi iliishia wapi?

Huwa unajisikiaje kudanganya namna hii?

Kwani nilivyosema kutoka Nairobi Wewe ulihisi nini labda? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Genta inasemekana wewe ni Mwana ccm, kada kindakindaki...kuna ukweli wowote?
 
Magufuli hang'atuki 2020 nani anabisha tumchalaze bakora.
 
Back
Top Bottom