Sunbae
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 254
- 176
Wadau ninaweka kama ambavyo nimeikuta kwenye ukurasa wa Vodacom Tanzania.
"Nani zaidi? Nani anaweza kuongea kwa zaidi ya saa 1 deilee akijisifu kuhusu timu yake? Usikose mechi kali ya watani wa jadi Jumamosi 20.02.2016. Kuwa nasi ujishindie zawadi kem kem. #VPL2015"