Nani Zaidi Haji Manara au Jerry Muro

Nani Zaidi Haji Manara au Jerry Muro

Sunbae

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
254
Reaction score
176
Wadau ninaweka kama ambavyo nimeikuta kwenye ukurasa wa Vodacom Tanzania.

"Nani zaidi? Nani anaweza kuongea kwa zaidi ya saa 1 deilee akijisifu kuhusu timu yake? Usikose mechi kali ya watani wa jadi Jumamosi 20.02.2016. Kuwa nasi ujishindie zawadi kem kem. ‪#‎VPL2015‬"
original-vpl-pinpost-2.png20160216-3513-1axb6p6.png
 
Tupe mtazamo wako mdau wa soka.
 
Back
Top Bottom