Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Stamina ana punchline na darassa ana flooWakuu kwema? DARASA NA STAMINA at their peak nani hatari zaidi? Nani ana punchline nzito, Ni nani mkali zaidi linapokuja suala la HIP HOP?
Stamina Vs Darasa....
#Forgive Me...
Aisee leo nakutana na nyuzi zinashindanisha wasanii wangu tu. Kule nmetoka kwa Jigga na Nas, hapa Stamina na DarassaWakuu kwema? Darasa na Stamina at their peak nani hatari zaidi? Nani ana punchline nzito, ni nani mkali zaidi linapokuja suala la Hip Hop?
Stamina Vs Darasa.
#Forgive Me.
Nani mkali sasa[emoji3]Aisee leo nakutana na nyuzi zinashindanisha wasanii wangu tu. Kule nmetoka kwa Jigga na Nas, hapa Stamina na Darassa
Ana ngoma mpya ft bien inaitwa no body, huyu jamaa anajua sana na huyo bien kapiga bonge la chorusHawa jamaa nyimbo zao za kwanza(ukiacha harakati za mtaa) zote zilienda mjini na ni kipindi kimoja
darassa: sikati tamaa,
stamina: kabwela
Darassa anamzidi stamia kwenye
flow,
uandishi,
mafanikio kiujumla,
sikati tamaa rmx my fav( zilla
verse )
Huyu dogo anachoimba hakieleweki.Contawa
weka ngoma we k**%&keDarasa
Sikati tamaa
Weka ngoma
Kitabu
Mwambie mwenzio
Darasa yupo vizur zaidi