Nani zaidi kati ya Darasa na Stamina?

Nani zaidi kati ya Darasa na Stamina?

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Wakuu kwema? Darasa na Stamina at their peak nani hatari zaidi? Nani ana punchline nzito, ni nani mkali zaidi linapokuja suala la Hip Hop?

Stamina Vs Darasa.



#Forgive Me.
 
Darasa
Sikati tamaa
Weka ngoma
Kitabu
Mwambie mwenzio
Darasa yupo vizur zaidi
 
Hawa jamaa nyimbo zao za kwanza(ukiacha harakati za mtaa) zote zilienda mjini na ni kipindi kimoja

Darassa: sikati tamaa,
Stamina: kabwela

Darassa anamzidi stamia kwenye
flow,
uandishi,
mafanikio kiujumla,

sikati tamaa rmx my fav( zilla
verse )
 
Hawa jamaa nyimbo zao za kwanza(ukiacha harakati za mtaa) zote zilienda mjini na ni kipindi kimoja

darassa: sikati tamaa,
stamina: kabwela

Darassa anamzidi stamia kwenye
flow,
uandishi,
mafanikio kiujumla,

sikati tamaa rmx my fav( zilla
verse )
Ana ngoma mpya ft bien inaitwa no body, huyu jamaa anajua sana na huyo bien kapiga bonge la chorus
 
Acha ufala wewe....kasikilize dead zone alafu uje tuendelee na mjadala.

Huyu mwamba kwenye ile mission ya kuwapoteza watu wa hiphop kwa unga naona walifeli...tungekuwa na chid na huyu mwamba mbona hawa wabana pua mashoga tusingewasikiliza kabisa.
 
Back
Top Bottom