bioto JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,261 Reaction score 2,097 Nov 15, 2017 #1 Leo katika nani zaidi ya redio chattle fm tunakuletea mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Dr.Shika na Hasimu wake Dr.Magu, ~Wote ni ma doctor ~Wote wanatokea kanda ya ziwa ~Vitu vingi tu wanafanana "PIGA KURA SASA"
Leo katika nani zaidi ya redio chattle fm tunakuletea mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Dr.Shika na Hasimu wake Dr.Magu, ~Wote ni ma doctor ~Wote wanatokea kanda ya ziwa ~Vitu vingi tu wanafanana "PIGA KURA SASA"
Riadha jr JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 567 Reaction score 331 Nov 15, 2017 #2 njoo centroo kwa uchechezi
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Nov 15, 2017 #3 Ngoma draw ila magu anashangaza shika anachekesha
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,348 Nov 15, 2017 #4 Zaid ni dr magu...huyu bwaaana kaleta mambo ya ajabu na yakushangaza mfano kujenga uwanja wa madege makubwa chato na kupiga wananchi wake risasi
Zaid ni dr magu...huyu bwaaana kaleta mambo ya ajabu na yakushangaza mfano kujenga uwanja wa madege makubwa chato na kupiga wananchi wake risasi
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,847 Nov 15, 2017 #5 Ngoja Mod waamke
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Nov 15, 2017 #6 dlnobby said: Zaid ni dr magu...huyu bwaaana kaleta mambo ya ajabu na yakushangaza mfano kujenga uwanja wa madege makubwa chato na kupiga wananchi wake risasi Click to expand... Kwa comment hii usithubutu kupanda Nissan.
dlnobby said: Zaid ni dr magu...huyu bwaaana kaleta mambo ya ajabu na yakushangaza mfano kujenga uwanja wa madege makubwa chato na kupiga wananchi wake risasi Click to expand... Kwa comment hii usithubutu kupanda Nissan.
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,982 Nov 15, 2017 #7 Wote kabila ileile
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Nov 15, 2017 #8 Nafuatilia...
thA goD JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 1,943 Reaction score 1,851 Nov 22, 2017 #9 Heading inasomeka dr.Sika,body inasomeka Dr.Shika ,kweli wewe mvaa bikini tu.
Jumaaofficial JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 250 Reaction score 209 Nov 22, 2017 #10 sanduku la kura lipo wapi?
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,101 Reaction score 1,050 Nov 23, 2017 #12 wasukuma