Nani zaidi kati ya Edo Kumwembe vs Shaffi Dauda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,643
Reaction score
3,301
Wakuu nimeamua kuleta uzi huu kwenu ili kutaka kupima kati ya wachambuzi hawa mahiri wa Soka nchini ni yupi mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka la Nchini na nje ya nchi.
 
shaffih anajikombakomba kwa tenga ili apate cheo tff ndo maana kapoteza mwelekeo ili aonekana anaweza kuficha maovu ya tff. shaffih ni mtangazaji wa clouds media ambayo imepoteza thamani na uwaminifu kwa watanzania baada ya kujulikana kwamba wanakaa mjini kwa kuwanyonya wasanii wetu(wanafanya kazi kijanjajanja), shaffih anadharau sana. but mwenzie unaye mpambanisha naye ni next level, anajua kujenga hoja, msomi, mtu wa watu. yaani ni sawa na umpambanishe juma nature na chid benz. kumwembe yupo juu. mia
 
mm naona eddo kwa ss yupo pw,cse anachambua kiufund zaid,na ni mtu anayetoka nje ya nchi kwa ajili ya kupata details zaidi.
Tunasubiri nan kat yao atakuwepo kwnye final ya UEFA Wembley, shaff last final aliishia nje ya uwanja,anadai alikosa tiket
 
shafii anajikomba vp tff na tff yenyewe inampnga kila leo
 
mm naona eddo kwa ss yupo pw,cse anachambua kiufund zaid,na ni mtu anayetoka nje ya nchi kwa ajili ya kupata details zaidi.
Tunasubiri nan kat yao atakuwepo kwnye final ya UEFA Wembley, shaff last final aliishia nje ya uwanja,anadai alikosa tiket

mbna ya mwaka huu tiketi zimeshaisha.cjui kama kanunua na swala la kwenda nje ya nchi kufata wachezaj na kuwahoji mwananchi wanafanya hyo kazi.,nadhan kampuni anayofanyia kazi wamejipanga sana,ila ukiachia hapo Edo anajituma sana.
 
Shafii anaidadavua habari iliyopo wakati edo anachambua soka!
 
mie wote nawakubali isipokua watangazaji wa kipindi kuna mmoja anajiita mahestro...huyu jamaa fani ya uyangazaji hamfai...hajui kujipanga na yupoyupo tu.

Yule mwingine yuko poa sana anasona habari kama ilivyo na hana madoido na sifa za kijinga.
 
maestro ibrahim c yupo hata mwananchi.kuna makala yake pale anaandika me huwa coni anachokiandika zaidi ya pumba.
 
Du watoa maoni wana hasira sana na hawa watu!mimi naona kila mmoja ni mzuri kwa sehemu yake na tukio husika!Shaffii anapenda sana kuingia TFF ajue nini kinaendelea ndani na kupata kaulaji kidogo!ndio maana kuna wakati anakosa weledi na kushindwa kukemea hasa likiwa jambo zito la TFF anawafunikia!
 
Eddo ni mkali....
Shafii Ana copy na ku past..
Kinachonifanya ninunue gazeti la mwanaspoti kila weekend mojawapo ni ukurasa wa Eddo..

Jamaa namkubali nabali sana.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…