babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Wakuu nimeamua kuleta uzi huu kwenu ili kutaka kupima kati ya wachambuzi hawa mahiri wa Soka nchini ni yupi mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka la Nchini na nje ya nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edo noma shaffih alianza vizuri siku hizi anambwela mbwela 2
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
shaffih anajikombakomba kwa tenga ili apate cheo tff ndo maana kapoteza mwelekeo ili aonekana anaweza kuficha maovu ya tff. shaffih ni mtangazaji wa clouds media ambayo imepoteza thamani na uwaminifu kwa watanzania baada ya kujulikana kwamba wanakaa mjini kwa kuwanyonya wasanii wetu(wanafanya kazi kijanjajanja), shaffih anadharau sana. but mwenzie unaye mpambanisha naye ni next level, anajua kujenga hoja, msomi, mtu wa watu. yaani ni sawa na umpambanishe juma nature na chid benz. kumwembe yupo juu. mia
mm naona eddo kwa ss yupo pw,cse anachambua kiufund zaid,na ni mtu anayetoka nje ya nchi kwa ajili ya kupata details zaidi.
Tunasubiri nan kat yao atakuwepo kwnye final ya UEFA Wembley, shaff last final aliishia nje ya uwanja,anadai alikosa tiket
shafii anajikomba vp tff na tff yenyewe inampnga kila leo
mie wote nawakubali isipokua watangazaji wa kipindi kuna mmoja anajiita mahestro...huyu jamaa fani ya uyangazaji hamfai...hajui kujipanga na yupoyupo tu.
Yule mwingine yuko poa sana anasona habari kama ilivyo na hana madoido na sifa za kijinga.
shafii anajikomba vp tff na tff yenyewe inampnga kila leo
Edo huyo jamaa ni ---- tu wala hana mashiko zaidi ya kupenda Sifa tu!