babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
- Thread starter
- #61
Wote wako poa 2 mi naona ila shafih ni mwanaharakat wa soka aliejitoa muhanga
duh,kajitoaje muhanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wako poa 2 mi naona ila shafih ni mwanaharakat wa soka aliejitoa muhanga
Duh.!!!!!
Mkuu, Dr. Liki(Abdulmalik Abdallah) anajua sana mambo ya soka nadhani kuliko wachambuzi wote sio tu wa Tz mpaka wale waliopo katika mashirika makubwa ya habari ya nje kama supersport, skysport, bbc, espn n.k.
Nakumbuka miaka ya 1990's mwishoni kuelekea 2000 dtv/itv walikuwa wanaonesha mipira ya nje kama epl, euro, world cup na afcon(kabla ya zuio la supersports), Dr. Liki alikuwa na Michuzi pamoja na Poki Fereji, alikuwa anaelezea vitu vingi sana vya mpira kama vile; historia ya mpira, kwanini england hawapendi penalty shootout, panenka chip, eusebio, historia ya santiago bernabeu (inaonekana alifika kwenye huo uwanja pia), kwanini Afrika ilipewa nafasi tano World cup, kwanini roger milla alirudi uwanjani. Mpaka sasa bado anaelezea vitu kuhusiana na mpira wa nje ambavyo si rahisi kuvipata kwenye mtandao. Vile vile sio rahisi kujua anashabikia timu gani tofauti na kina dauda na kumwembe. Mara nyingi haoneshi ushabiki kabisa, wale mabwege wa supersport wengi wao wanashindwa kuficha ushabiki wao kwa timu wazipendazo. Kama yule black mdogomdogo(nadhani anaitwa Thomas Mlambo) muda wa 2010 wc alikuwa anaonesha ushabiki usio wa lazima kwa timu ya SA ambayo ilikuwa mbovu kabisa, kama mtakumbuka akiizungumzia mechi ya pili ya group stage kati ya SA na Uruguay(gk ya SA Khune alipewa red card na uruguay walipata penalty SA walifungwa 3-0). Vilevile watangazaji wao kwenye UCL wanaonesha ushabiki mkubwa kwa sevenlona.
babumapunda ni vigumu kupambanisha mtu wa print media (Edo) na mtu wa electronic media (Shafii),kitaaluma wote ni waandishi wa habari lakini kiutendaji Wako tofauti sana.
Mkuu linapokuja suala la uchambuzi wa soka nadhani tunaangalia uwezo wa kiufundi zaidi wa mchambuzi kuliko aina ya media walizopo.
Bado sijaona uchambuzi wowote wa Shaffih kuelezea/kukosoa na kushauri Ufundi wa kabumbu
babumapunda ni vigumu kupambanisha mtu wa print media (Edo) na mtu wa electronic media (Shafii),kitaaluma wote ni waandishi wa habari lakini kiutendaji Wako tofauti sana.
Na hilo ndio tatizo la wabongo wengi sana,wavivu wa kusoma nakutafuta data au habari mpya maana mtu anaweza kuja anakuuliza 'hivi Ricardo kaka anatokea nchi gani?? mtu wa namna hii anakuuliza hili swali akiwa na access ya internet kabisa then anakuuliza,sasa huu si uzembe,alafu anajiita mtu wa soka.Kama kitu kidogo kama kujua mchezaji anatokea nchi gani,ata weza jua kweli 'the best goal in the history of football ' kweli???'
soma alichoandika kwa makini utagundua iq yake ilivyo ndogo, kama hutaona basi mko na same level of thinking
wakuu nimeamua kuleta uzi huu kwenu ili kutaka kupima kati ya wachambuzi hawa mairi wa Soka nchini ni yupi mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka la Nchini na nje ya nchi.
ni hayo 2,karibuni kwa kuchangia.
Mpaka naandika hii comment Edo anaongoza kwa 100%, au?
Maana sijaona hata mmoja aliyesema Shafii ni zaidi ya Edo.
Walio challenge wamesema wote sio au wako sawa.
Edo Bingwaaaaa!
Acheni hizo za kutafuta
kwenye google, kuna ladha ya kusimuliana na kuulizana hata kama unajua
unaweza pata hiyo taarifa google!
Kwa nini tunaanzisha thread ya mechi za habari kutoka kwenye mitandao
mingine ya nje badala ya kuweka link tu? Au ukasema katafute website
fulani.
Kwa nini tunaanzisha thread za mechi ambayo sote tuko tunaiangalia?
Kwa hiyo watafsiri wataendelea kuwa muhimu hata kama anacopy paste.
Back to the topic:-
Edo anaweza kuja kuvaa soksi (viatu hataweza) za mkuu Riki Abdallah.
Riki alikuwepo kabla hata watu wengi hatujaanza kupata access za
internet na ladha yake mpaka leo inatachi ileile.