kwa bongo my take kwa uzur... uwoya anaongoza by miles akifuatiwa na wema sepetu..... wolper anajipangilia ila wazee wa nyatu nyatu washampima si mzuri kivile usibabaike na make up na mavazi!!! infact i would slot shamsa ford in 3rd then wolper ndio awe wa 4

Dah hatari sana kama wewe vile haha
kwani kimbley chuchu konzi???
Shamsa mzur yule, kitu natural, ata akipaka masizi mtoto sura inaonekana, ana shepu nzuri sana pia, ney anafaid
eti kimbley na ww chuchu konzi kama uwoya?
duh kwa heri.....kumbe mnazi busti eh
tumeshawashukia saivi kabla hatuja anza kubebishana kwenye hug pale ndo inafahamika
mi shamsa binamu hapana!