Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

kwa bongo my take kwa uzur... uwoya anaongoza by miles akifuatiwa na wema sepetu..... wolper anajipangilia ila wazee wa nyatu nyatu washampima si mzuri kivile usibabaike na make up na mavazi!!! infact i would slot shamsa ford in 3rd then wolper ndio awe wa 4
 
Shamsa mzur yule, kitu natural, ata akipaka masizi mtoto sura inaonekana, ana shepu nzuri sana pia, ney anafaid
 
wema anabebwa na umaarufu wake..kuna warembo kumzidi bongo movie...ila uwoya ni supa dupa mrembo...shamsa nyama uzembe zinamuharibu
 
Shamsa mzur yule, kitu natural, ata akipaka masizi mtoto sura inaonekana, ana shepu nzuri sana pia, ney anafaid

wolper kawaida sanaa kinacho mbeba ni mpangilio wa mavazi
 
maana kuna mtu kapagawa kabisa yani
 
Fukara

Very true, wolper yupo juu sanaaa ingawa kimuonekano irene ni mzuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
ndio kwenye kifua pakibonyea tu...umebusti
 
Back
Top Bottom