BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Mi naona wote ni kawaidaaaa
Kwa sababu mweusi au? Binamu yule haitaj camera 360 kuujua uzur wake, mtoto mkali yule aseh
Mi naona wote ni kawaidaaaa
we kama mimi, nawashangaa badala waseme kitu kama welu sengo
Hata na waona wa kawaida. Uwoya alikuaga mzuri enzi hzo sio sasa. Welu sengu mzuri na ana mvuto haswa. Namkubali mno aisee.
Umeona eeh, welu anabamba balaa
Yaaa Uwoya alikuw enzi hizo, nadhani umri unamtupa sasa, naona mashavu yanaanza kulegea hata make up zinaanza kudunda sasa
ahahahahaaaaa!!eti mashavu kulegea looh!mito unavisaa!
Ningekua mimi ndikumana ningepiga hata goti nirudiane nae. Mtoto mkali sana
Ahahhaa wala sio sababu ya weusi,mbona Aunty mweusi na mzuri tu,mpangilio wake wa meno sijaupenda
aunt mzuri ila mvuto zero kiukweli
Inawezekana unawaonea wivu mana wanawake nyie
Alishawahi kuendesha BMW.😛anda:lakini kwanin unafikili wolper ni expensive than uwoya?
Nyie wote hamjui watoto wazuri mjini hapa....Wa pili kutoka Kushoto...Wellu Sengo
View attachment 259014