Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

Kwa sababu mweusi au? Binamu yule haitaj camera 360 kuujua uzur wake, mtoto mkali yule aseh

Ahahhaa wala sio sababu ya weusi,mbona Aunty mweusi na mzuri tu,mpangilio wake wa meno sijaupenda
 
Hata na waona wa kawaida. Uwoya alikuaga mzuri enzi hzo sio sasa. Welu sengu mzuri na ana mvuto haswa. Namkubali mno aisee.

Umeona eeh, welu anabamba balaa

Yaaa Uwoya alikuw enzi hizo, nadhani umri unamtupa sasa, naona mashavu yanaanza kulegea hata make up zinaanza kudunda sasa
 
Umeona eeh, welu anabamba balaa

Yaaa Uwoya alikuw enzi hizo, nadhani umri unamtupa sasa, naona mashavu yanaanza kulegea hata make up zinaanza kudunda sasa

ahahahahaaaaa!!eti mashavu kulegea looh!mito unavisaa!
 
uwoya jamani msuri haswaaaaa
huyo wolper ana sura tuvna damu ya nguo basssss
shepu kabati
 
Mzuri mwenye mnato ila kama wote maji maji hamna kitu hapo.
 
Nyie wote hamjui watoto wazuri mjini hapa....Wa pili kutoka Kushoto...Wellu Sengo

4.JPG
 
Barcelona Vs simba sports,Irene mzuri utakubaliana na mimi kama macho yako hayajawahi kupata hitlafu
 
Back
Top Bottom