best ujumbe wangu umeupata?
Nashangaa sana sijaupata
Mie nilituma wangu uliupata?
khaaa!!mimi wa kwako nimeupata jana,na nikampa mtu maagizo akuletee wa kwako jana hiyohiyo!!mzigo wenyewe niliokutumia ulikuwa unafanana tu na ule wa wakwako!!sijui nimekosea wapi ngoja nijaribu tena.
Nashukuru sana kwa mzigo wa maana kiasi kile,love you.
Asante sana Kimbley u deserve the best...kwa sababu you are special
Na huo mzigo ni kwa special people...Guess what...wewe ni wa kwanza.
Na siku zote utakuwa wa kwanza.
Na huo ni mwanzo tu.
Nitafarijika sana kuupokea mzigo wako pia.....itakuwa furaha na amani kubwa katikati ya mtima wa moyo wangu
Nakupenda zaidi
ahsante sana!!nimefurahi sana sana sana!!
Furaha yangu niliyonayo kwa ajili yako haina kifani......
Laiti kama ungeweza kuipima ungetambua hili.
Pia nina furaha kwa sababu,May 2 miaka mingi iliyopita nami niliingia hapa duniani
umelala?
Shamsa mzur yule, kitu natural, ata akipaka masizi mtoto sura inaonekana, ana shepu nzuri sana pia, ney anafaid
kwa bongo my take kwa uzur... uwoya anaongoza by miles akifuatiwa na wema sepetu..... wolper anajipangilia ila wazee wa nyatu nyatu washampima si mzuri kivile usibabaike na make up na mavazi!!! infact i would slot shamsa ford in 3rd then wolper ndio awe wa 4
Mkuu unajua lakini hili ni jukwaa gani??? Sio kila muda ni kuwaza siasa na maendeleo muda mwingine ni wa leisure na enjoyment ndo mana unaona ata makazini kuna likizoTutaweza kujikomboa kimaisha Kweli Kama hali ndo hii ya kujadili Watu Kweli Tanzania nchi ya ahadi
Yule mtoto ni mzuri balaa, kuanzia shape, macho, tabasamu! Ndo maana yule fara wa kinyarwanda alidata! Huyu mwingine ukimkuta kakaa unaweza pagawa, lakini akinyenyuka dah lazima ubadili mawazoUwoya ni mzuri mtoto yule daah!uzuri wa hawa wasanii mwangalie akiwa hana Makeup.