Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

Nashangaa sana sijaupata

Mie nilituma wangu uliupata?

khaaa!!mimi wa kwako nimeupata jana,na nikampa mtu maagizo akuletee wa kwako jana hiyohiyo!!mzigo wenyewe niliokutumia ulikuwa unafanana tu na ule wa wakwako!!sijui nimekosea wapi ngoja nijaribu tena.

Nashukuru sana kwa mzigo wa maana kiasi kile,love you.
 
Muonekano wa Uwoya na ongea yake ni mwizi mwizi, muongo muongo....akikuangalia tu hata kama yupo distance, akiondoka lazima utajicheki mifukoni.

Nikiishi naye sidhani kama nitakaa nimuamini kwa lolote.
 
naona hakuna mrembo hapo kwa kuwa wanalazimisha kurembua kama ndama amezidiwa maziwa
 
khaaa!!mimi wa kwako nimeupata jana,na nikampa mtu maagizo akuletee wa kwako jana hiyohiyo!!mzigo wenyewe niliokutumia ulikuwa unafanana tu na ule wa wakwako!!sijui nimekosea wapi ngoja nijaribu tena.

Nashukuru sana kwa mzigo wa maana kiasi kile,love you.

Asante sana Kimbley u deserve the best...kwa sababu you are special
Na huo mzigo ni kwa special people...Guess what...wewe ni wa kwanza.
Na siku zote utakuwa wa kwanza.
Na huo ni mwanzo tu.
Nitafarijika sana kuupokea mzigo wako pia.....itakuwa furaha na amani kubwa katikati ya mtima wa moyo wangu
Nakupenda zaidi
 
ahsante sana!!nimefurahi sana sana sana!!
 
ahsante sana!!nimefurahi sana sana sana!!

Furaha yangu niliyonayo kwa ajili yako haina kifani......
Laiti kama ungeweza kuipima ungetambua hili.
Pia nina furaha kwa sababu,May 2 miaka mingi iliyopita nami niliingia hapa duniani
 
Furaha yangu niliyonayo kwa ajili yako haina kifani......
Laiti kama ungeweza kuipima ungetambua hili.
Pia nina furaha kwa sababu,May 2 miaka mingi iliyopita nami niliingia hapa duniani

umelala?
 
Uwoya mrembo sana but wolper sio mrembo zaidi ya wolper japo ni expensive wolper ni star na anaishi maisha ya kistar
 
Tutaweza kujikomboa kimaisha Kweli Kama hali ndo hii ya kujadili Watu Kweli Tanzania nchi ya ahadi
 
kwa bongo my take kwa uzur... uwoya anaongoza by miles akifuatiwa na wema sepetu..... wolper anajipangilia ila wazee wa nyatu nyatu washampima si mzuri kivile usibabaike na make up na mavazi!!! infact i would slot shamsa ford in 3rd then wolper ndio awe wa 4

Nafikiri shamsa awe mbili mana ata wema agusi pale may be uwoya
 
Tutaweza kujikomboa kimaisha Kweli Kama hali ndo hii ya kujadili Watu Kweli Tanzania nchi ya ahadi
Mkuu unajua lakini hili ni jukwaa gani??? Sio kila muda ni kuwaza siasa na maendeleo muda mwingine ni wa leisure na enjoyment ndo mana unaona ata makazini kuna likizo
 
Uwoya ni mzuri mtoto yule daah!uzuri wa hawa wasanii mwangalie akiwa hana Makeup.
Yule mtoto ni mzuri balaa, kuanzia shape, macho, tabasamu! Ndo maana yule fara wa kinyarwanda alidata! Huyu mwingine ukimkuta kakaa unaweza pagawa, lakini akinyenyuka dah lazima ubadili mawazo
 
Back
Top Bottom