Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

Pogba ligi ya uingereza imemshinda anarukaruka tu uwanjani ...pogba ni cha mtoto tu kwa kante
 
Kante anapewa kazi ya kusaidia ulinzi na kuzima mashambulizi.

Pogba mara nyingi anapewa kazi ya kusaidia mashambulizi, akiwa nyuma ya main striker(s).

Nani zaidi? Obviously Kante anafanya vizuri zaidi. Nashangaa humu watu wapo busy kulinganisha idadi ya magoli.

Jana Kante alipoona hata kazi ya kuzima mashambulizi haipo tena, akaamua kwenda kuichambua ngome yao nzima na kutupia kitu kambani.
 
Baada ya Manchester United kukubali kipigo cha goli 4_0 kutoka kwa club ya Chelsea ...kuna mengine yameibuka watu wanadai kuwa ngolo kante ni zaidi ya paul pogba ...je ni kweli?



kamuulize kocha wa timu ya taifa ya ufaransa kwa nini kante anakalia mbao ndo utajua yupi yupo juu ya mwenzie
 
Kweli 1:4, siku mtamfananisha G.cahil na mustafi kwa magoli ya waliyofunga. Kante&pogba wanatumika zaidi kama defensive mid fielders, sasa pimeni uwezo wao kutokana na majukumu yao kwa nafasi zao, kwa akili hii sitoshangaa siku mkimfananisha de gea na kun aguero kwa magoli ya kufunga.
 
Naomba mnijulishe kati ya Matiç na Kante nani huwa anacheza holding midfielder?
 
Kante jana kaficha mil 100 ya watu hahahaha [HASHTAG]#KanteTheNextMakelele[/HASHTAG]
 
Hahahaha Kante jana aliingilia majukumu ya akina Costa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?

Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
Mkuu huna haja ya kutumia lugha kali, taratibu mjadiriane kila mtu huwa na mtazamo wake
 
Samahani,Pogba ndo yule nimeona anatafutwa na watu wana majiwe??
 
Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?

Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, jibu kwa hoja tu sio mpaka matusi na kejeli.

hata iweje matokeo hayabadiliki mkuu
 
Duh nimegundua humu kuna mashabiki maandazi.

kama mnataka kulinganisha magoli basi linganisheni kati ya Ibrahimovich na Costa halaf mtuambie nani bora
 
Naona tokea jana sasa hivi ndiyo hangover ya magoli imeisha muda huu mumezinduka mkaanza kulalama..!
 
Naomba mnijulishe kati ya Matiç na Kante nani huwa anacheza holding midfielder?
Wote ni wakabaji ila wanatofautiana majukumu kidogo
Cante anacheza zaidi chin na kazi yake kuu ni kutibua mashambulizi kabla hayajaifikia back four na matic anacheza juu kidogo na kazi yake ni kuunganisha sehemu ya defense na sehemu ya attacking
Lakini sometimes cante amekuwa akifanya majukumu ya Matic ya kuanzisha mashambulizi hii ni kutokana na kuwa na kitu cha tofauti na DMs wengine ambacho ni speed na pia ana uwezo mzuri wa kupiga pass

Mechi ya Chelsea na Leicester ilifikia kipind Matic ikabidi yeye ndo acheze chini nafasi anayotakiwa kucheza cante na cante akasogea juu
 
kamuulize kocha wa timu ya taifa ya ufaransa kwa nini kante anakalia mbao ndo utajua yupi yupo juu ya mwenzie
Kukalia mbao kwenye timu ya taifa sio tatizo kwan kadir siku zinavyoenda kocha wa ufaransa atajua umuhimu wa kante katka national team...pili pogba kaja uingereza akitokea ligi ya italia ligi ambayo bingwa ni mmoja miaka sita mfululizo na hata ligi ambayo pogba alin'gaa haina ushindani kama alikosasa ....kununuliwa kwa pogba kwa paundi 90 million sio ndo anaubora wa pesa hiyo ..ukweli pogba sio kitu kwa n'golo kante
 


hicho sio kigezo cha ubingwa wa timu moja kama sikosei juve kacheza fainali ya champions lig na barcelona kwa mtoa madrid je timu zenye ligi ya ushindani hazikuwepo?


torres katoka liverpool kuja chelsea alikuwa mbovu? kushindwa kupafom kwa pogba sio uzur wa kante manchester united ina watu gani katikati?



alen wa stoke city alipofunga goli akawa mzur kwa pogba xhaka alipofunga goli akawa mzur kwa pogba kante kafunga goli kawa mzur kwa pogba felnandinho alipiga pas nyingi akawa mzur kwa pogba lakin kiufund imekaaje? kwa nini alipokuwa juve alikuwa anatajwa kama kiungo mshambuliaje ajae bora hebu google na si kante? uchambuz huu unapatikana tanzania tu!!!!! kwa nini akienda france anakichafua umewah kujiuliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…