Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya Manchester United kukubali kipigo cha goli 4_0 kutoka kwa club ya Chelsea ...kuna mengine yameibuka watu wanadai kuwa ngolo kante ni zaidi ya paul pogba ...je ni kweli?![]()
Hahahaha Kante jana aliingilia majukumu ya akina Costa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kante anapewa kazi ya kusaidia ulinzi na kuzima mashambulizi.
Pogba mara nyingi anapewa kazi ya kusaidia mashambulizi, akiwa nyuma ya main striker(s).
Nani zaidi? Obviously Kante anafanya vizuri zaidi. Nashangaa humu watu wapo busy kulinganisha idadi ya magoli.
Jana Kante alipoona hata kazi ya kuzima mashambulizi haipo tena, akaamua kwenda kuichambua ngome yao nzima na kutupia kitu kambani.
Mkuu huna haja ya kutumia lugha kali, taratibu mjadiriane kila mtu huwa na mtazamo wakeKama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?
Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, jibu kwa hoja tu sio mpaka matusi na kejeli.Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?
Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
Ahaa kaka lakini si kafunga eeee[emoji2] acha unazi wewe, kufunga goli moja bhass imekuwa gumzo...!!
Ulimbukeni tu
Ivi zilikuwa ngapi vile 2 au 4hahah mapovu, kufungwa kubaya wewe.
Wote ni wakabaji ila wanatofautiana majukumu kidogoNaomba mnijulishe kati ya Matiç na Kante nani huwa anacheza holding midfielder?
Kukalia mbao kwenye timu ya taifa sio tatizo kwan kadir siku zinavyoenda kocha wa ufaransa atajua umuhimu wa kante katka national team...pili pogba kaja uingereza akitokea ligi ya italia ligi ambayo bingwa ni mmoja miaka sita mfululizo na hata ligi ambayo pogba alin'gaa haina ushindani kama alikosasa ....kununuliwa kwa pogba kwa paundi 90 million sio ndo anaubora wa pesa hiyo ..ukweli pogba sio kitu kwa n'golo kantekamuulize kocha wa timu ya taifa ya ufaransa kwa nini kante anakalia mbao ndo utajua yupi yupo juu ya mwenzie
Kukalia mbao kwenye timu ya taifa sio tatizo kwan kadir siku zinavyoenda kocha wa ufaransa atajua umuhimu wa kante katka national team...pili pogba kaja uingereza akitokea ligi ya italia ligi ambayo bingwa ni mmoja miaka sita mfululizo na hata ligi ambayo pogba alin'gaa haina ushindani kama alikosasa ....kununuliwa kwa pogba kwa paundi 90 million sio ndo anaubora wa pesa hiyo ..ukweli pogba sio kitu kwa n'golo kante