Pogba mpeni uanamitindo hasa wa nywele, soka mwachien Kante. Dume zima kushinda Saloon tabia kama za wanaume wa Darisalama kusuguliwa kucha na magaga, pimbi kabisa!
Hizo Takwimu Sio Sahihi Kwasababu Tunachoangalia Ni SCORE & GOAL ASSIST lakini Naona Wote Wana 0...! So, Sio Takwimu Sahihi! Hayo Mipasi ni Assist Za Mashuti Yaliyopaa Tunawaachia Wenyewe..