Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwenye match ya Chelsea vs Man utd ya 4 - 0 nani alifunga goli na kutoa asist ya goli. Nadhani ndio zaidi!Paul Pogba tokea aje Man U kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?
Na Ngolo Kante tokea aje chelsea kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?
Ukipata jibu hapo juu[emoji115] basi ujue huyo ndo anayemzidi mwenzake
izoo apoo