Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

hicho sio kigezo cha ubingwa wa timu moja kama sikosei juve kacheza fainali ya champions lig na barcelona kwa mtoa madrid je timu zenye ligi ya ushindani hazikuwepo?

torres katoka liverpool kuja chelsea alikuwa mbovu? kushindwa kupafom kwa pogba sio uzur wa kante manchester united ina watu gani katikati?

alen wa stoke city alipofunga goli akawa mzur kwa pogba xhaka alipofunga goli akawa mzur kwa pogba kante kafunga goli kawa mzur kwa pogba felnandinho alipiga pas nyingi akawa mzur kwa pogba lakin kiufund imekaaje? kwa nini alipokuwa juve alikuwa anatajwa kama kiungo mshambuliaje ajae bora hebu google na si kante? uchambuz huu unapatikana tanzania tu!!!!! kwa nini akienda france anakichafua umewah kujiuliza?
Pogba alikuwa anatajwa kama kiungo bora ajaye dunuani lakin hajafikia katika uwezo wakuwa kiungo bora ....sema ambacho kilimpa umaarufu na kuonekana ni bora zaidi diniani ni kutokana na timu aliyokuwepo ilikuwa na watu wazur sehemu ya kati kama kina aturo vidali na pilro hivyo nae akaonekana ni bora lakin kiuhalisia uwezo wake ni wakawaida xana ....
 
basi sawa kwa kuwa game zimekataa ila bado naiman nae sana

upande wa pili mashabik sisi ni wanafiki alisemwa vibaya conte ndani cante nje cesc kizur kashinda angepigwa story ingekuwa tofaut
 
Nyie wajinga mnaangalia magoli au uwezo wa mtu katika kuisaidia team? Huyo Popobawa kafunga mechi mbili lakini kawagharimu mechi tano na Kante amefunga mechi moja ila kaibeba team katikati kwa mech tano nani bora? Pogba hapaswi kulinganishwa hata na mchezaji wa Aston villa maana ni hasara tupu
Pogba ni mzigoooo usiibebeka,, hata kufukuzwa shida sana
 
basi sawa kwa kuwa game zimekataa ila bado naiman nae sana

upande wa pili mashabik sisi ni wanafiki alisemwa vibaya conte ndani cante nje cesc kizur kashinda angepigwa story ingekuwa tofaut
Kaka sioni kitu cha kubishiana hapo izo nguvu unazotumia bora ukaline usubiri mavuno. Umesahau kuwa binadamu anasahu kwa sekunde tu. Mtu akifanya vizuri anasifiwa but akikosea pia hukosolewa. So don't worry it's just a game...ila 4 nyingi sana kufungwa timu kama man u. Huu ni mchezo ahitaji hasira. Leo kwako kesho kwangu.....kunywa juice ya apple kutuliza hasira mkuu
 
Kigezo cha kupima ubora wa mchezaji kwa magoli aliyofunga kinawanyima haki wachezaji wengine.kwa mfano kuna wachezaji ambao kazi yao ni kuzuia magoli yasiingie kwa mfano golikipa au mabeki.
 
Hao watu walishawahi kumpambanisha Pogba na Kante kabla ya Pogba kuja Man U?

Wasipige kelele kwa nusu ya msimu wake wa kwanza.
 
Pogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.

SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?

Kwahiyo Mchezaji Anapimwa Kwa Magoli 3 Kwenye Mechi 9??

Wale Sio Mastrikers Ufahamu Hilo! Tunachoangalia Ni Performance Yao! Na Ukweli Ni Kwamba Kante Kapaform Vizuri Sana Msimu Huu Ukilinganisha Na Mpira Pesa (Pogba)...

Acha Kumfananisha Kante Na Vitu Vya Kijinga...
 
246019a90f54e2f77942163fceffa2eb.jpg

Baada ya Manchester United kukubali kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa club ya Chelsea, kuna mengine yameibuka watu wanadai kuwa N'golo Kante ni zaidi ya Paul Pogba.

Je ni kweli?

Mkali shrodani mustafi
 
Kaka sioni kitu cha kubishiana hapo izo nguvu unazotumia bora ukaline usubiri mavuno. Umesahau kuwa binadamu anasahu kwa sekunde tu. Mtu akifanya vizuri anasifiwa but akikosea pia hukosolewa. So don't worry it's just a game...ila 4 nyingi sana kufungwa timu kama man u. Huu ni mchezo ahitaji hasira. Leo kwako kesho kwangu.....kunywa juice ya apple kutuliza hasira mkuu

kaka goli sita na nne zip nyingi? Sio mbali 2011 alishafungwa na city pia jambo la kulima sio jepes kama unavyofikir nguv za kupiga porojo ni tofaut na kulima mi sina stress sikubeba matokeo mfukon kilichotokea ndan ya dakika tisin ndo hali halis
 
Naomba mnijulishe kati ya Matiç na Kante nani huwa anacheza holding midfielder?
Matic ndo anacheza holding midfielder nowdays ila hapo mwanzo alikua anacheza kante kabla ya kufungwa na liver & asenali ikaonekana kante haiwezi holding midfieder aka-shift to #8
 
Naomba mnijulishe kati ya Matiç na Kante nani huwa anacheza holding midfielder?
Matic ndo anacheza holding midfielder nowdays ila hapo mwanzo alikua anacheza kante kabla ya kufungwa na liver & asenali ikaonekana kante haiwezi holding midfieder aka-shift to #8
 
Kaka sioni kitu cha kubishiana hapo izo nguvu unazotumia bora ukaline usubiri mavuno. Umesahau kuwa binadamu anasahu kwa sekunde tu. Mtu akifanya vizuri anasifiwa but akikosea pia hukosolewa. So don't worry it's just a game...ila 4 nyingi sana kufungwa timu kama man u. Huu ni mchezo ahitaji hasira. Leo kwako kesho kwangu.....kunywa juice ya apple kutuliza hasira mkuu

mkuu jamii forum hawabishani mabishano yapo kwenye vijiwe vya kahawa pale utaona hayo mkuu niache kuwa na hasira na maisha pesa ilivyongumu nichukie mtu kuvupuliwa haiwezekan suala la kulima sio jepes kama unavyoliandika hapa sio sawa na kupiga porojo humu
 
Acha kumfananisha kante na huo upumbav wenu....kante ni zaidi ya messi nyama wee
 
Sio kipindi kibaya, Man Utd hawana kocha tu, United inawezekana ikawa Ndio timu yenye wachezaji wazuri kuzidi zote EPL ila inawezekana Ndio ikawa timu yenye kocha wa hovyo kuzidi timu zote, nilijitoa Man Utd toka mourinho atangazwe kocha pale, nimehamia Leicester mpaka akiondoka special failure pale old Trafford ntarudi
Ngoja tusubiri
 
Ukihesabu magori ya pogba usisahau na idadi ya mechi walizocheza...pogba kacheza game nyingi zaidi ya kante.
 
Pogba alikuwa vizuri, lakini kwa sasa Kante anamzidi.​
 
Back
Top Bottom