Siku hizi ukitaka kuijuia product wakati hujawahi kuitumia, soma customer reviews. Nimesoma comments za waganda kwenye hizo links, naona kama wanaingia kwenye mahusiano diamond atafilisika kabisa. He has to play his cards very well!
Yaan unalinganisha Wema na Zariii, ,,,hebu tafuta mwingine tulinganishe na Zari banaaa
hebu nisaidie mie
nimependa post yako:smile-big:Siku hizi ukitaka kuijuia product wakati hujawahi kuitumia, soma customer reviews. Nimesoma comments za waganda kwenye hizo links, naona kama wanaingia kwenye mahusiano diamond atafilisika kabisa. He has to play his cards very well!
duh jamaniZari mwishoo mama ubaya kasugue gaga kwanza
umeonaa eeh kunyamaza nalo neno :shock:Zari mwishoo mama ubaya kasugue gaga kwanza
Duh nilikuwa namuona wema ni ----- lakini huyu zari anaonekana headmistress wake. lol diamond anakazi