Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Loading

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
594
Reaction score
101
Ni story nzito ndani ya Uganda, je na wewe waona nani zaidi kati ya Wema na Zari?
nani zaidi.JPG

Chanzo: http://www.ugandaonline.net/news/view/15446/zari_and_diamond_platnumz_an_item

Je urafiki huu mpya wa Diamond na Zari ni zaidi ya wapenzi au ni mazungumzo tu?

Chanzo hapa: http://www.ugandaonline.net/news/view/15399/zari_in_talks_with_tanzania_s_diamond_platnumz
 
Siku hizi ukitaka kuijuia product wakati hujawahi kuitumia, soma customer reviews. Nimesoma comments za waganda kwenye hizo links, naona kama wanaingia kwenye mahusiano diamond atafilisika kabisa. He has to play his cards very well!
 
Dah mkuu comment zako zimekwenda shule, inaonesha jinsi gani unafatilia kwa makini
 
Yaan unalinganisha Wema na Zariii, ,,,hebu tafuta mwingine tulinganishe na Zari banaaa
 
Siku hizi ukitaka kuijuia product wakati hujawahi kuitumia, soma customer reviews. Nimesoma comments za waganda kwenye hizo links, naona kama wanaingia kwenye mahusiano diamond atafilisika kabisa. He has to play his cards very well!
nimependa post yako:smile-big:
 
Yaan unalinganisha ebola(wema) na maralia(zari)
 
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii
 
Duh nilikuwa namuona wema ni ----- lakini huyu zari anaonekana headmistress wake. lol diamond anakazi

Dimondo naona kakimbilia kwa Zari kwa frustrations tu ili kumkomoa Wema. Huko Insta jamaa bado analilia papuchi ya Wema, ni vema watu wa karibu na Chibu wamshauri atulie kwanza apunguze stress za kuachwa then baadae sana ndo aingie kwenye relationship kwa sasa kukimbilia kwa warembo ataishia pabaya
 
Back
Top Bottom