Jamani mimi simo, huu ni utani tu mtu hawezi kuzaa mbwa
sanaa tu mana wengne kule ndo tunaondolea stress
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii
Aiseeee........ngoja nifuatilie huko Uganda kwanza........
Basi ni shidaaa kule kuna maubuyuu balaaaa ,yaan wenye kuuliza mafile ya wanaume duuu mpaka Sinta alikataaa wasiwe wanataja majinaaa
zari is next level, some ladies are real special and zari is just about the best you can get!!!
Umenichekesha...kuna mtu aliuliza faili la sijui pilot gani; alikuwa keshampigia mahesabu ya jinsi gani ampate...wacha mdada mwingine aje juu...eti ukome kumuulizia mume wangu...te te te...
Bongo ni shiiida maana wanaume wenye pesa ni wachache hivyo kwa walio mawindoni ni mbanano at work....
Yaan huko unaweza kuta file la mumeoo hhhhhaaaaaa mpaka mwingine aliingia akapiga biti ole wake wamtaje mume wakee
SintahYaan unalinganisha Wema na Zariii, ,,,hebu tafuta mwingine tulinganishe na Zari banaaa
Sio 3 boys anao 4 mmoja kamficha nimeona kwenye comments zawagandaThey are both beautiful ladies! Ila Zari kamuacha wema mbaaaaali sanaaaaa kimaisha! Wema hata auze mbunye miaka 30 ijayo hafikii utajiri alionao mdada matata Zarina!
I admire her kwa blessings alizo nazo including 3 boys!
Hata mahusiano aliyopitia si mengi ukilinganisha na Miss wetu Wema!
Zari yupo juu!
Halafu cheki miguu kuna kama nindunundu za unene! Huyu mzuri akiwa kavaa tu akivua unaweza kumwaga mbio!