Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Mnaotaka kuingiwa kwa Binti Manogi blog ipo kwenye matengenezo... wakimaliza mtaingia kana una OOT ipost hapa hapa maaba kule milango imefungwa kwa Mudq

Aisee member wa kule walete hizo OOT huku yaan ukiingia kwa sinta usipocheka una matatizooo
 
Basi ni shidaaa kule kuna maubuyuu balaaaa ,yaan wenye kuuliza mafile ya wanaume duuu mpaka Sinta alikataaa wasiwe wanataja majinaaa

Mi kule nasomaga comments tu.. nasubiri zifike hata 100 Ndio naingia. Huwa sikoment kuna vichwa vimepinda mle
 
Hata Wema kazaa sana tu ila hakutaka kulea.
Si alitangaza mwenyewe kipindi kile anavishwa pete kua ana mimba ya domo?

Ni kweli lakini umri wa Zari umeenda sana kuliko domo,me kumzidi ke umri ndio poa sio ke kumzidi me tena mbali sana
 
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii

Yawezekana wengine tunapata news tofauti. Mi nijuavyo Zari na Ivan despite the fact that they separated....these two are still business partners.....na Zari bado ni boss kwa nafasi yake! So anamake mkwanja kama kawa.
 
Nafikiri Zari na Wema wote ni ma super lovers, mara tu maada ya kumwagana na eX wake, akampata huyu basket ball star Isaac Lugudde
zari.JPG

Na baada ya Hapo ana Dimondi

Habari hii hapa: Uganda Online - Uganda News, International & Breaking News
 
Huyu ndiye Zari halisi bila Photoshop akiwa na eX wake
TheyRBackZ1I.jpg
Je kwa mtazamo wako wanaendana na Dimond?
 
Hii ndio List kamili ya Zari ndani ya muda mfupi, je inaendana na List ya Wema?
zari and Farouk.JPG
Zari and Farouk

ivan.JPG
Zari and Ivan

View attachment 201282
Zari and Lugudde

dimondi.JPG
Zari and Dimondi

Je unaijua list ya Wema? Waweza kutujuza?
 
Hii ndio List kamili ya Zari ndani ya muda mfupi, je inaendana na List ya Wema?
View attachment 201278
Zari and Farouk

View attachment 201280
Zari and Ivan

View attachment 201282
Zari and Lugudde

View attachment 201283
Zari and Dimondi

Je unaijua list ya Wema? Waweza kutujuza?

Kwa Farouk tatizo lilikuwa nini tena?
Kwa Ivan I think she played her part, with those kind of vipigo lazima kuquit asee.
Hapo kwa basket baller sidhani kama kulikuwa na love, the bosslady alikuwa anatulizia tu stress za kuachana na Ivan!
 
I love Wema Sepetu.....

Huyu mganda mwache arudi kwao.. eti ataimisi Bongo si aseme tu atamis dudu ya Diamond

I love u too mpwa kwa hii comment.

Watoto wa mjini tunajuwa ni kiasi gani Wema amemboost domo.

Hata kingereza cha kuongea na Zari mwalimu ni Wema.
 
Ostazi Yahaya (mganga) ana balance equation ya diamond....
 
Back
Top Bottom