sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Lakini weme hajatotoa, hivyo ni bora zaidi
aliyekwambia wema ajatotoa nani?.....wema ana mtoto anaitwa vanilla.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini weme hajatotoa, hivyo ni bora zaidi
aliyesema hivi nani mine nataka nijue kwanz
Diamond kwa Zari kapotea,kumbe ana watoto 4 na sio 3 na miaka inawezekana sio 34 ni 40 hahaaaa!!!!! ila wema mzuri yeye kapenda pesa sio huyo mwanamke,halafu nyie mnao muita Zari dada mna maana gani? msichana ukisha zaa ni mwanamke sio dada tena au hizo pesa
Hata Wema kazaa sana tu ila hakutaka kulea.
Si alitangaza mwenyewe kipindi kile anavishwa pete kua ana mimba ya domo?
aliyekwambia wema ajatotoa nani?.....wema ana mtoto anaitwa vanilla.......
hata wema kazaa sana tu ila hakutaka kulea.
Si alitangaza mwenyewe kipindi kile anavishwa pete kua ana mimba ya domo?
Shoga mbona nashindwa kuingia kwa sintah!!??
aliyekwambia wema ajatotoa nani?.....wema ana mtoto anaitwa vanilla.......
mbona nasikia huyu boss lady ana mahela sana pia anauza na unga usiopika ugali?Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii
si bilionea naseeb ila jamani ukute wala hadate nae au ile one night stand
baas wabongo kwa kucomplicate mambo ndo wanayakuza kweli
kwani one night stand sio kudate.... Maana jana sinza ilihamia sea cliff...
Shoga eti wabongo kwa kukomplikate we sijuin msudan lol
Shoga mbona nashindwa kuingia kwa sintah!!??
Iko kwenye matengenezo alisema Insta kuna mambo wanatengeneza na kuboresha baadhi ya vitu....