Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Diamond kwa Zari kapotea,kumbe ana watoto 4 na sio 3 na miaka inawezekana sio 34 ni 40 hahaaaa!!!!! ila wema mzuri yeye kapenda pesa sio huyo mwanamke,halafu nyie mnao muita Zari dada mna maana gani? msichana ukisha zaa ni mwanamke sio dada tena au hizo pesa

Hata Wema kazaa sana tu ila hakutaka kulea.
Si alitangaza mwenyewe kipindi kile anavishwa pete kua ana mimba ya domo?
 
Hata Wema kazaa sana tu ila hakutaka kulea.
Si alitangaza mwenyewe kipindi kile anavishwa pete kua ana mimba ya domo?

Yani nakumbuka sanaa!!yani tena akatokea ukurasa wa mbele wa gazeti la shigongo akiwa anakula ngema na mboga ya majani!akajigamba mara ooh mimba inapenda mrenda sijui bamia!!Akaenda south akadundwa akasema imetoka...kuropokwa tu!yani Wema ni sawa na mzazi tu ndo maana mwili unakua sawa na mwanamke alozaa sana
 
yani namuonea wema huruma mmh, bora angebaki na papaa cleme sahv angekuwa mbali....
 
aliyekwambia wema ajatotoa nani?.....wema ana mtoto anaitwa vanilla.......

Vanilla mwenyewe wa Wema huyu hapa kasinzia
 

Attachments

  • 1415721531194.jpg
    1415721531194.jpg
    25.7 KB · Views: 653
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii
mbona nasikia huyu boss lady ana mahela sana pia anauza na unga usiopika ugali?
 
si bilionea naseeb ila jamani ukute wala hadate nae au ile one night stand
baas wabongo kwa kucomplicate mambo ndo wanayakuza kweli

Kwani one night stand sio kudate.... maana jana Sinza ilihamia Sea cliff...

Shoga eti wabongo kwa kukomplikate we sijui Msudan LOL
 
Watanzania ni wapumbavu wengi utakuta huyu binti Wema na huyo kijana Diamond wana wafuasi wengi kutokana uforokonyoko wao wanaofunya mbele ya jamii.
 
Mnaotaka kuingiwa kwa Binti Manogi blog ipo kwenye matengenezo... wakimaliza mtaingia kana una OOT ipost hapa hapa maaba kule milango imefungwa kwa Mudq
 
Back
Top Bottom