GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,020
Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kwa ufatiliaji wako wa siasa unaona nani anafaa kuliwakilisha Jimbo la Kigoma mjini katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Maoni Yako ni muhimu ili kupata mwelekeo wa uchaguzi utakavyoweza kuwa katika Jimbo la Kigoma mjini.