Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

kandawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
1,137
Reaction score
810
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe.

Shule ya MUSABE iliyoko mkoani Mwanza katika wilaya ya Nyamagana imepandisha ada zaidi hata ya ile kulipia ada ya kipindi watoto walikuwa nyumbani! Ada ya shule hiyo kwa mwaka ni 2,200,000( Day Schoolars) kwa mwaka na malipo yake ni mara nne kwa mwaka kwa maana ya 550,000 mara nne na kuna mahitaji mengine machache kama maziwa,stationeries nk hulipwa Jan na July kwa ongezelo kama la 193,000 na hivyo kupelekea kulipa 743,000 kwa miezi ya Jan na July.

Wakati shule zinafungwa kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa covid19 watoto walipewa barua za kufunga ikiwamo na ada inayotakiwa kulipwa ya 550,000 kama kawaida. Sasa maajabu wazazi wametumiwa meseji wanatakiwa kulipa 850,000 kwa mwezi Jun na 843,000 Sept!

Hivyo ukijumlisha inakuwa 1,693,000 hii ni ada ya kipindi kilichobaki wakati huo ikumbukwe mzazi keshalipa 550,000 ukijumlisha hapo unapata 2 ,243,000!

Hapo kuna quarter iliyotakiwa kulipiwa 550,000 watoto walikuwa nyumbani,tifanye wangekuwa shuleni nayo tuijumlishe maanake ada imekuwa 2,793,000!,hapo ni bila ya wazazi kupewa notisi ya kupanda kwa ada! Mhasibu akipigiwa simu anatoa namba ya mkuu wa shule ndo aulizwe na mkuu huyu anajibu kwa mkato haswaa kuwa serikali imeongeza muda wa masomo kwa hiyo hakuma jinsi mzazi atakwepa kulipia ongezeko!

Na kila siku wizara inatangaza kuwa ada isiongezeke hata shilingi! Sasa hawa MUSABE wao wanafuata muingozo gani kama shule zingine hadi zimewatumia wazazi waraka toka wizara husika unaosema ada zisipandishwe,hiki kiburi cha MUSABE kupandisha ada kinatoka wapi? Nani yuko nyuma ya shule hii? Wazazi wanahaha kupiga simu na kulikuwa na magroup ya watsup ya wazazi yaliyofunguliwa na shule yote yamewekewa restriction only admin allowed to post!

Yote hii ni kuwabana wazazi wasiwe na umoja wa kuhoji kwa pamoja.

Hebu waziri husika wasiliana na MUSABE walkuambie kwa nini wanapingana na maelekezo yako au basi utoke tena ufute kauli yako ya ada kutopandishwa kwa musa huu.

Nawasilisha.
 
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani Mwanza katika wilaya ya Nyamagana imepandisha ada zaidi hata ya ile kulipia ada ya kipindi watoto walikuwa nyumbani! Ada ya shule hiyo kwa mwaka ni 2,200,000( Day Schoolars) kwa mwaka na malipo yake ni mara nne kwa mwaka kwa maana ya 550,000 mara nne na kuna mahitaji mengine machache kama maziwa,stationeries nk hulipwa Jan na July kwa ongezelo kama la 193,000 na hivyo kupelekea kulipa 743,000 kwa miezi ya Jan na July. Wakati shule zinafungwa kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa covid19 watoto walipewa barua za kufunga ikiwamo na ada inayotakiwa kulipwa ya 550,000 kama kawaida. Sasa maajabu wazazi wametumiwa meseji wanatakiwa kulipa 850,000 kwa mwezi Jun na 843,000 Sept! Hivyo ukijumlisha inakuwa 1,693,000 hii ni ada ya kipindi kilichobaki wakati huo ikumbukwe mzazi keshalipa 550,000 ukijumlisha hapo unapata 2 ,243,000! Hapo kuna quarter iliyotakiwa kulipiwa 550,000 watoto walikuwa nyumbani,tifanye wangekuwa shuleni nayo tuijumlishe maanake ada imekuwa 2,793,000!,hapo ni bila ya wazazi kupewa notisi ya kupanda kwa ada! Mhasibu akipigiwa simu anatoa namba ya mkuu wa shule ndo aulizwe na mkuu huyu anajibu kwa mkato haswaa kuwa serikali imeongeza muda wa masomo kwa hiyo hakuma jinsi mzazi atakwepa kulipia ongezeko!

Naw
Hili hata mimi limenikera sana!
Tunaomba Serikali ikngilie kati kwa kweli
 
Hii shule wahuni sana,wakiulizwa ada imepanda kiaje wanadai masaa yameongezeka! Kinachonishangaza ni hivi ada ya shule hii inalipwa kwa siku au kwa mihura? Na kama waziri mwenye dhamana katangaza hadharani kuwa ada zisipande na wazazi walipewa ada iliyokuwa ikitakiwa kulipwa muhura ambao hawakusoma kwa nini hiyo ada isilipwe huu muhura maana ni same kwa nini wabadirishiwe kwa meseji wakati walipewa invoice?
Hapa kuna utapeli unataka kufanyika. Hizi shule zinaendeshwa kisanii sana,kama walitoa invoice wakawapa watoto kwa nini ada hiyo ndo isilipwe maana kilichofanyika ni ucheleweshaji wa kufungua tu na si mabadiriko. Wizara tafadhalini lifuatilieni haraka maana wazazi wengi wamekuwa njia panda,wamsikilize nani, wizara au uongozi wa MUSABE.
Ila hii shule hapana,wamekuwa na vijimambo visivyofaa mara kwa mara,wizara tunawaomba muiangalie sana hii shule kuna vitu haviko sawa.
 
SHULE ZA PRIVATE NI GHARAMA.
Acheni kulalamika..
ukiacha walimu kuna staff kibao ambao nao wanatakiwa walipwe.kuna wafanya kazi wa usafi,walinzi,umeme,maji n.k
 
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani Mwanza katika wilaya ya Nyamagana imepandisha ada zaidi hata ya ile kulipia ada ya kipindi watoto walikuwa nyumbani! Ada ya shule hiyo kwa mwaka ni 2,200,000( Day Schoolars) kwa mwaka na malipo yake ni mara nne kwa mwaka kwa maana ya 550,000 mara nne na kuna mahitaji mengine machache kama maziwa,stationeries nk hulipwa Jan na July kwa ongezelo kama la 193,000 na hivyo kupelekea kulipa 743,000 kwa miezi ya Jan na July. Wakati shule zinafungwa kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa covid19 watoto walipewa barua za kufunga ikiwamo na ada inayotakiwa kulipwa ya 550,000 kama kawaida. Sasa maajabu wazazi wametumiwa meseji wanatakiwa kulipa 850,000 kwa mwezi Jun na 843,000 Sept! Hivyo ukijumlisha inakuwa 1,693,000 hii ni ada ya kipindi kilichobaki wakati huo ikumbukwe mzazi keshalipa 550,000 ukijumlisha hapo unapata 2 ,243,000! Hapo kuna quarter iliyotakiwa kulipiwa 550,000 watoto walikuwa nyumbani,tifanye wangekuwa shuleni nayo tuijumlishe maanake ada imekuwa 2,793,000!,hapo ni bila ya wazazi kupewa notisi ya kupanda kwa ada! Mhasibu akipigiwa simu anatoa namba ya mkuu wa shule ndo aulizwe na mkuu huyu anajibu kwa mkato haswaa kuwa serikali imeongeza muda wa masomo kwa hiyo hakuma jinsi mzazi atakwepa kulipia ongezeko!
Na kila siku wizara inatangaza kuwa ada isiongezeke hata shilingi! Sasa hawa MUSABE wao wanafuata muingozo gani kama shule zingine hadi zimewatumia wazazi waraka toka wizara husika unaosema ada zisipandishwe,hiki kiburi cha MUSABE kupandisha ada kinatoka wapi? Nani yuko nyuma ya shule hii? Wazazi wanahaha kupiga simu na kulikuwa na magroup ya watsup ya wazazi yaliyofunguliwa na shule yote yamewekewa restriction only admin allowed to post!
Yote hii ni kuwabana wazazi wasiwe na umoja wa kuhoji kwa pamoja.
Hebu waziri husika wasiliana na MUSABE walkuambie kwa nini wanapingana na maelekezo yako au basi utoke tena ufute kauli yako ya ada kutopandishwa kwa musa huu.
Nawasilisha.
Wapelekeni Mahakamani.
 
Ni sawa kwa wenye uwezo ili walimu walipwe overtime.
Sisi tusio na uwezo watoto wetu msimu wa masomo utaanza mwakani ili tujipange kwani kurudia darasa sio dhambi.
 
SHULE ZA PRIVATE NI GHARAMA.
Acheni kulalamika..
ukiacha walimu kuna staff kibao ambao nao wanatakiwa walipwe.kuna wafanya kazi wa usafi,walinzi,umeme,maji n.k
Sio kulalamika,shule zilifungwa ikiwa imebaki kama wiki shule zifungwe,watoto walapewa invoice kama kawaida,shule zinafunguliwa wazazi wanatumiwa ongezeko la 300,000 toka invoice waliyopewa watoto! Hiyo ni nini kama sio uhuni? Kuchelewa kufungua kunafanya ada ipande?
Uhuni mtupu wanafanyiwa na si kwamba wazazi hawataki kulipa bali hilo ongezeko ndo hawalielewi
 
Ni sawa kwa wenye uwezo ili walimu walipwe overtime.
Sisi tusio na uwezo watoto wetu msimu wa masomo utaanza mwakani ili tujipange kwani kurudia darasa sio dhambi.
Kweli hili ni balaa,hakafu ukipiga simu kwa muhasibu anavyojibu ndo unachoka kabisaa eti hiyo ni balance ya wakati watoto walikuwa nyumbani!
Upuuzi kabisa.
 
Kwani wakati wa likizo hii si wanafunzi walikuwa wanatumiwa kazi wafanye na walimu wao?.
Ndo ada yenyewe hyo
Sio kulalamika,shule zilifungwa ikiwa imebaki kama wiki shule zifungwe,watoto walapewa invoice kama kawaida,shule zinafunguliwa wazazi wanatumiwa ongezeko la 300,000 toka invoice waliyopewa watoto! Hiyo ni nini kama sio uhuni? Kuchelewa kufungua kunafanya ada ipande?
Uhuni mtupu wanafanyiwa na si kwamba wazazi hawataki kulipa bali hilo ongezeko ndo hawalielewi
 
Lakini huu mzozo wa ada shule karibia zote za private upo.
Na mpaka wengine wanawalipa NUSU MSHAHARA WAFANYAKAZI WAO.
Shule ya wababe hatari
Ngoja tujipange tu kutafuta shule za wenye lugha za biashara na concideration. Maana wao MUSABE tu ndo corona wanaitumia kama ngazi ya kuongeza kipato chao
 
Lakini huu mzozo wa ada shule karibia zote za private upo.
Na mpaka wengine wanawalipa NUSU MSHAHARA WAFANYAKAZI WAO.
Ujue hii ni business sawa na biashara ya basi
Mimi abiria nalipa nauli kwa safari. Wewe mwenye basi una wafanyakazi wako,kama safari imeahirishwa mimi msafiri nauli yangu haitumiki na itatumika tu pale safari itafanyika. Sasa kama safari imesogezwa mbele miezi mitatu mie msafiri nahusika vipi na ulipaji wa mishahara ya wafanyakazi wa mmiliki wa basi hilo?
Yeye alitakiwa aangalie modelity ya kumizana na wafanyakazi,sio kuja kunipandishia bei ya nauli sababu alikuwa analipa wafanyakazi!
Haikubaliki
 
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani Mwanza katika wilaya ya Nyamagana imepandisha ada zaidi hata ya ile kulipia ada ya kipindi watoto walikuwa nyumbani! Ada ya shule hiyo kwa mwaka ni 2,200,000( Day Schoolars) kwa mwaka na malipo yake ni mara nne kwa mwaka kwa maana ya 550,000 mara nne na kuna mahitaji mengine machache kama maziwa,stationeries nk hulipwa Jan na July kwa ongezelo kama la 193,000 na hivyo kupelekea kulipa 743,000 kwa miezi ya Jan na July. Wakati shule zinafungwa kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa covid19 watoto walipewa barua za kufunga ikiwamo na ada inayotakiwa kulipwa ya 550,000 kama kawaida. Sasa maajabu wazazi wametumiwa meseji wanatakiwa kulipa 850,000 kwa mwezi Jun na 843,000 Sept! Hivyo ukijumlisha inakuwa 1,693,000 hii ni ada ya kipindi kilichobaki wakati huo ikumbukwe mzazi keshalipa 550,000 ukijumlisha hapo unapata 2 ,243,000! Hapo kuna quarter iliyotakiwa kulipiwa 550,000 watoto walikuwa nyumbani,tifanye wangekuwa shuleni nayo tuijumlishe maanake ada imekuwa 2,793,000!,hapo ni bila ya wazazi kupewa notisi ya kupanda kwa ada! Mhasibu akipigiwa simu anatoa namba ya mkuu wa shule ndo aulizwe na mkuu huyu anajibu kwa mkato haswaa kuwa serikali imeongeza muda wa masomo kwa hiyo hakuma jinsi mzazi atakwepa kulipia ongezeko!
Na kila siku wizara inatangaza kuwa ada isiongezeke hata shilingi! Sasa hawa MUSABE wao wanafuata muingozo gani kama shule zingine hadi zimewatumia wazazi waraka toka wizara husika unaosema ada zisipandishwe,hiki kiburi cha MUSABE kupandisha ada kinatoka wapi? Nani yuko nyuma ya shule hii? Wazazi wanahaha kupiga simu na kulikuwa na magroup ya watsup ya wazazi yaliyofunguliwa na shule yote yamewekewa restriction only admin allowed to post!
Yote hii ni kuwabana wazazi wasiwe na umoja wa kuhoji kwa pamoja.
Hebu waziri husika wasiliana na MUSABE walkuambie kwa nini wanapingana na maelekezo yako au basi utoke tena ufute kauli yako ya ada kutopandishwa kwa musa huu.
Nawasilisha.
Hamisheni watoto wenu hiyo shule
 
Hamisheni watoto wenu hiyo shule
Nalo neno
Sema kwa sasa sio rahisi,ila kwa next year hawa tutawaachia shile lao wasomeshe watoto wao.
Maana hata kuangalia kuweka ahueni ya kulipa kwa phase hawaelewi na ni lazima ulipe yote ndo mtoto apokelewe.
 
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani Mwanza katika wilaya ya Nyamagana imepandisha ada zaidi hata ya ile kulipia ada ya kipindi watoto walikuwa nyumbani! Ada ya shule hiyo kwa mwaka ni 2,200,000( Day Schoolars) kwa mwaka na malipo yake ni mara nne kwa mwaka kwa maana ya 550,000 mara nne na kuna mahitaji mengine machache kama maziwa,stationeries nk hulipwa Jan na July kwa ongezelo kama la 193,000 na hivyo kupelekea kulipa 743,000 kwa miezi ya Jan na July. Wakati shule zinafungwa kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa covid19 watoto walipewa barua za kufunga ikiwamo na ada inayotakiwa kulipwa ya 550,000 kama kawaida. Sasa maajabu wazazi wametumiwa meseji wanatakiwa kulipa 850,000 kwa mwezi Jun na 843,000 Sept! Hivyo ukijumlisha inakuwa 1,693,000 hii ni ada ya kipindi kilichobaki wakati huo ikumbukwe mzazi keshalipa 550,000 ukijumlisha hapo unapata 2 ,243,000! Hapo kuna quarter iliyotakiwa kulipiwa 550,000 watoto walikuwa nyumbani,tifanye wangekuwa shuleni nayo tuijumlishe maanake ada imekuwa 2,793,000!,hapo ni bila ya wazazi kupewa notisi ya kupanda kwa ada! Mhasibu akipigiwa simu anatoa namba ya mkuu wa shule ndo aulizwe na mkuu huyu anajibu kwa mkato haswaa kuwa serikali imeongeza muda wa masomo kwa hiyo hakuma jinsi mzazi atakwepa kulipia ongezeko!
Na kila siku wizara inatangaza kuwa ada isiongezeke hata shilingi! Sasa hawa MUSABE wao wanafuata muingozo gani kama shule zingine hadi zimewatumia wazazi waraka toka wizara husika unaosema ada zisipandishwe,hiki kiburi cha MUSABE kupandisha ada kinatoka wapi? Nani yuko nyuma ya shule hii? Wazazi wanahaha kupiga simu na kulikuwa na magroup ya watsup ya wazazi yaliyofunguliwa na shule yote yamewekewa restriction only admin allowed to post!
Yote hii ni kuwabana wazazi wasiwe na umoja wa kuhoji kwa pamoja.
Hebu waziri husika wasiliana na MUSABE walkuambie kwa nini wanapingana na maelekezo yako au basi utoke tena ufute kauli yako ya ada kutopandishwa kwa musa huu.
Nawasilisha.
Management ya hii shule wanajiona wa maana sana kupenda sifa wakati walishindwa kulipa mishahara walimu wao kipindi cha corona kuanzia mwezi March today walimu na wafanyakazi wengine hawakulipwa salary naona sasa anakuja kufidia humo kwenye ada ili awape wape posho na maji ya kunywa,lakini ngoja tuone wizara na wao nani anatunisha misuli
 
Back
Top Bottom